Majibu ya HESLB batch ya 3 2023/24

Majibu ya HESLB batch ya 3 2023/24

Yatima hola.
Hiyo vigezo ni vipi?tuacheni bana hizi
vigezo ni vile vipaumbele vya bodi ya mikopo kila mwaka wanavitaja kwenye muongozo wa utoaji mkopo
ambavyo ni kama una TASAF(kama unapokea hela kutoka TASAF kwa ajili ya kaya maskini),yatima (mzazi mmoja au wote wawili wamefariki),sponsorship(ufadhili) na katika muongozo wa mwaka huu 2023/24 wameongeza ya jinsia pamoja na ustaafu wa mzaz ambapo hapa itaambatanishwa barua ya kustaafu ya huyo mzaz wako
 
kijana update ilioko kwako ni usubirie kufanya appeal bas
Halafu nyie ndo mnaowapa pressure wenzenu, appeal kitu gani, badala ya kuwatia moyo watu unaleta habari za appeal akati majibu mpk kesho wanaendelea kutoa pesa

Me nishapata muda mrefu kaka, ila tupeane moyo
 
Mmeamkaje wote tulioambiwa wait for final results?
Jamani Mimi naona kama wengi wetu tuliokosa mpaka hivi sasa ni equivalent applicants kutoka diploma au mnaonaje?
🥲Na wewe umejipangaje ukikosa hiyo kesho
Since morning account imepoteza data haisom chochote zaid ya hiki
Screenshot_20231103_234027_Edge.jpg

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
KAMA UNAHISI UNA VIGEZO BASI

1.Hakikisha unaripoti chuo mapema.

2.Hakikisha unapofika chuo, unakamilisha usajili wa chuo mapema.

3. Kama utakutana na changamoto yoyote ya Mikopo, usikae kimya, mtafute kiongozi wa Mikopo wa Chuo chako, au kiongozi yeyote aliyepo karibu yako ili akusaidie kumpata kiongozi wa Mikopo,

USIKUMBATIE CHANGAMOTO YAKO, TOA TAARIFA MAPEMA KWA VIONGOZI.
KILA MMOJA ATIMIZE WAJIBU WAKE
 
Halafu nyie ndo mnaowapa pressure wenzenu, appeal kitu gani, badala ya kuwatia moyo watu unaleta habari za appeal akati majibu mpk kesho wanaendelea kutoa pesa

Me nishapata muda mrefu kaka, ila tupeane moyo
Vizuri sana
 
Nipo hapa kuwasaidia wadogo zangu ambao wanahisi wana vigezo.

Kwa pamoja tutashirikiana bega kwa bega kuhakikisha tuna fanikiwa.
 
kijana update ilioko kwako ni usubirie kufanya appeal bas
Kwenye ku-appeal ni vitu gani watataka uambatanishe? Na kama akaunti bado inasoma .... wait for final results hadi siku ya kuanza ku-appeal unaweza ku-appeal au hadi upate notification tofauti na hiyo ya wait for final results?
 
Relax, wee pesa watakuwekea, tulia na maombi Kwa wingi
 
Wait for final result...hapa sijaelewa
 
Halafu nyie ndo mnaowapa pressure wenzenu, appeal kitu gani, badala ya kuwatia moyo watu unaleta habari za appeal akati majibu mpk kesho wanaendelea kutoa pesa

Me nishapata muda mrefu kaka, ila tupeane moyo
Kumpa mtu moyo ndo kitu bodi wanawafanyia watu huku wakiwapa matumaini yasiyo timika bora kujiandaa kwa lolote kuliko kukaa chini kutegemea bodi itafanya kitu cha tofauti zaidi .
Ikitokea wamepewa ashukuru Mungu lakini sio jambo la kuwapa watu matumaini yasiyokuwepo.Think Smart....
 
Hivi continues wao hawana batch msaada
Watu wa bodi wanapita humu,
Ni vyema kama mtu hana sifa za kupata mkopo bora tu waseme mapema, sio kusubiria hadi tarehe ya mwisho while mnajua kabisa hatapata. Hii yaweza saidia watu kutafuta alternative mapema kuliko kubaki na ....." wait for final, wait for final na mwishowe iwe hok
 
Kwenye ku-appeal ni vitu gani watataka uambatanishe? Na kama akaunti bado inasoma .... wait for final results hadi siku ya kuanza ku-appeal unaweza ku-appeal au hadi upate notification tofauti na hiyo ya wait for final results?
Endelea kutembelea akaunti yako mpaka siku ya kukata rufaa(appeal).
Mambo ya kuzingatia kwenye kukata rufaa sanasana wanachoangalia ni uhitaji wako wa kupata mkopo
ni;
1.Yatima-(mzaz mmoja au wote wawili wamefariki na (che)vyeti chake/vyao cha/vya kifo kiwe kimehakikiwa na RITA .)
2.Ufadhili-(aidha ulipata ufadhili kwenye elimu yako ya sekondari kidato cha nne/sita)
3.TASAF-(kama wewe ni mnufaika wa fedha zitolewazo kwa kaya maskini maarufu kama TASAF )
 
Mm nilipostpone jaman alafu nimeomba mkopo HESLB kwenye barua ya kupostpone niliandika due to financial reason je chuo kitatumia barua yangu HESLB please maelezo wakuu
 
Hi bodi hata haieleweki..zamani nilipokuwa nasikia bodi ya mikopo ya elimu ya juu nilijua ni bonge la ofisi lina watu wanatisha kwa elimu na utendaji kazi lkn kwa mambo ninayoyaona na yanavyokwenda.🤷.
 
Habarini ndugu hapa humu. Nimeona kushare uzii huu ndani hapa. Kuna jamaa yangu hapa, Yeye alipostpone 2020/2021 akiwa tu first year kwa sababu za finacial crisis. Mda wa kupos uliisha bila mafanikio ya pesa, ikabidi afanye deregistration. Mwaka huu mwezi wa 7 au 8 akafanikisha deregistration process na kufanya application upya ya vyuo na mkopo. Japo mkopo hajapata kwa awamu zote. Na alishafiwa na mzazi mmoja. Japo death certificate ya mzazi wake mlolongo ulikuwa mrefu akashindwa kuipata. Vipi lakini ishu kama hizi ZINAWEZA KUAPPEL?
 
Back
Top Bottom