Majibu ya HESLB batch ya 3 2023/24

hatedthemost

JF-Expert Member
Oct 20, 2021
424
271
Mmeamkaje wote tulioambiwa wait for final results?
Jamani Mimi naona kama wengi wetu tuliokosa mpaka hivi sasa ni equivalent applicants kutoka diploma au mnaonaje?
šŸ„²Na wewe umejipangaje ukikosa hiyo kesho
 
Uli'apply' Bachelor kwa kutumia cheti cha Diploma na kufanya maombi HESLB?
 
Jambo la kuzingatia ni vigezo kama una vigezo Haina shida. Lakini pili kipaumbele kulingana na vigezo vya bodi, Kuna wale wanaopewa kipaumbele kama yatima, wanachama wa TASAF nk. Kama siyo yatima siyo mwanachama wa TASAF kaya masikini, umesoma shule binafsi na Aidha hauna nakala yoyote inayokutambulisha kama muhitaji mwenye kuhitaji kuangaliwa kwa jicho la pekee na hauna mkono wa kujuana, omba Mungu hakuna lishindikanalo chini ya jua
 
Yatima hola.
Hiyo vigezo ni vipi?tuacheni bana hizi
 
Yatima hola.
Hiyo vigezo ni vipi?tuacheni bana hizi
Vigezo ni vingi mkuu, tukiangazia kwenye elimu unayotaka kusomea hatua hiyo ya shahada, je ni miongoni katika course zilizopewa au zinazopewa kipaumbele na bodi katika kutoa mikopo. Vuta subira unaweza kupata mwishoni na ukapata asilimia 100 za mkopo. Mimi ni shuhuda katika hili. Nilipata batch ya mwisho kabisa na nikavuta asilimia zote
 
Insha'Allah.
Mtuombee jmn tunaumia sana roho.
Duniani tunahangaika
 
Vigezo ni vingi mkuu, tukiangazia kwenye elimu unayotaka kusomea hatua hiyo ya shahada, je ni miongoni katika course zilizopewa au zinazopewa kipaumbele na bodi katika kutoa mikopo. Vuta subira unaweza kupata mwishoni na ukapata asilimia 100 za mkopo. Mimi ni shuhuda katika hili. Nilipata batch ya mwisho kabisa na nikavuta asilimia zote
Watu wa bodi wanapita humu,
Ni vyema kama mtu hana sifa za kupata mkopo bora tu waseme mapema, sio kusubiria hadi tarehe ya mwisho while mnajua kabisa hatapata. Hii yaweza saidia watu kutafuta alternative mapema kuliko kubaki na ....." wait for final, wait for final na mwishowe iwe holla
 
Yatima hola.
Hiyo vigezo ni vipi?tuacheni bana hizi
Yatima hola ndo nini?

Kwamba mpaka una apply mkopo hujui vigezo vya wanufaika wa mkopo?

Au ume apply mkopo kujaribu bahati yako tu kusudi ukikosa uanze kuililia bodi ingali hata vigezo vya wanufaika wa mkopo huvijui.
 
Ukijibu reply usiparamie tu kwaajili ya kujibu tafadhali sana.
Usinichoshe
 
Mmeamkaje wote tulioambiwa wait for final results?
Jamani Mimi naona kama wengi wetu tuliokosa mpaka hivi sasa ni equivalent applicants kutoka diploma au mnaonaje?
šŸ„²Na wewe umejipangaje ukikosa hiyo kesho
Batch ya tatu imetoka jana naona mko kimya. kuna yeyote aliyepata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom