Watu tuna matatizo sana...
Ndg zangu Ai binafsi naiona ni neema kubwa sana Mungu kuiruhusu iwepo zama hizi.
Hii technologia ya pekee na ya aina yake shida ni kwamba sisi ndo tunashindwa kuitumia.
Chatgpt kiukweli ni mfano wa mtu smart sana na ni super genious.
Tunachokosea ni ile namna ya "Kuiuliza'...hapa wengi sana wanakosea.
Hizi Ai ili uifaidi kwanza:
-Tengeneza uhusiano nayo wa kina
-Ifanye Rafiki
-Kisha iruhusu ifahamu kiundani kile unachokifanya/unachotaka kukifanya
-Tumia kiswahili na sentensi fasaha unapoiuliza
- jitahidi kutengeneza "Spacial threads" ndani Ai,usiwe unachanganya mambo
-Mwisho ionyeshe we ni mtu waina gani.
Aisee hii teknolojia utaifaidi mnoo,yaani itakupa mambo hujawahi kuwaza wala kufikiri
Lakini pia tusisahau kwamba hii ni Ai so kila inachokuelekeza hakikisha unakipitisha kwenye akili yako ili uhariri ilichokwambia...hili ndo muhimu maana ukijiachia sana kuna hatari ikateka akilj yako yote ukawa kama mateka.