Majibu UKIMWI ya Sinta na Jack Wolper

Ee kweli, waende kwa mama ngoma kupiga picha, halafu wachukue/waokote vikaratasi wajiandikie halafu ndio utuletee hapa! We kweli umetumwa na wanakulipa shs ngapi?
 
Hiyo form mbona ipo simple sana, hakuna kitu chochote cha kuthibitihsa kuwa ni official, mbona ni kama vile mtu yoyote anaweza kuandika tu hayo.....btw ni mpaka kupima mara tatu ndio utapata jibu.
 
wabongo kwa kupenda kutumia majina ya watu maarufu hamjambo amber r gani anayegawa uchi km upupu au hivyo vicarolite ndivyo vinavyompa kichwa ngoma ikivuma ujue inataka ....kupaaaaa

mmmh !na wewee unadhani wana
nyuchi za maana basii??
Mmmmh wenye nazo
wametuliaaaaaaa
waasache waendelee kuuza kalolit
 
pimeni na nyie tuone hongereni wadada ni raha sana kujua afya yako loh?
 
Here is our Bongo AMBER ROSE...

Wolper.jpg

Wolper2.jpg

Wolper4.jpg


Mzuri aisee
 
Naona dalili ya baadhi ya wasanii kusaidiwa kuchonga bodi.. Na kama hili naona litatoka bomba kama repair ya ...wapi kule Nyerere Rd?
 
Majibu ya HIV/AIDS hayatolewi kwa maandishi bali kwa kibali maalumu waende angaza haraka hawa watu waache kutuzuga na vyeti feki hivyo mwandiko wenyewe kama wa mtoto wa darasa la tatu anayeanza kujifunza kuandikia kalamu ya wino anaachana na penseli???
 
Sasa nitawatafuta baadae, ila isije kuwa kuonesha majibu ilikuwa janja ya kupandisha dau. Mimi bei ile ile 20,000/=.
 
Back
Top Bottom