Majibu mengine mmh!mmh!

Majibu mengine mmh!mmh!

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,993
Reaction score
11,877
Changudoa mjamzito alienda hospital,
Dr akauliza "mimba hii kakupa nani?"
Changudoa akajibu kwa hasira"hivi wewe ukila maharage utajua ni harage lipi lililokufanya ujambe?"
 
Mh! Huyo dr. angejua ingemsaidia nini?
 
ukisoma probability utajua harage gan limeharibu mambo
 
Duh!huyo kweli changudoa mkuu,mana hamjui hata aliyemjaza
 
Kwanza ingefaa,huyo chake-doa aongozwe sala ya toba.Vilevile Dr.Alitaka ajue jinsi ya kujaza kadi ya kliniki
 
Back
Top Bottom