mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Hahahahaaaaa! Today is your lucky day! Niko na MKE WA MTU HAPA ANANIOMBA NIMTAJIE DAWA YA KUTOA MIMBA YA 3 DAYS (THE AFTER PILL) MANAKE KACHEZA MECHI YA NJE KAVU KAVU MKE WA MTU HUYO CHUPI INAMBANA HAPA, MOJA HAIKAI, MBILI HAIKAI. HAHAHAAAAAA,
Wanandoa kwa HYPOCRISY hamna mpinzani, JIPETE KUBWAAA, mda kama huu ndo mnakuwaga wa wazi, maana kumuuliza why, AKATIA MUME MWENYEWE KIBAMIA YULE, MI NIMEFATA FUTURE TU PALE! Hahahahaaaaaaa! (Sicheki kama mazuri la hashaaaa! Nacheka kwa masikitiko tu!)
Ukweli nahitaji kukutana na Lara 1 please mfikishieni ujumbe! Nimekua nikisoma trend zake mara kwa mara yupo muwazi na anawakilisha vizuri kile anachofikilia! Ndoa hizi hazifungwi na malaika ni ndoa za kibinaadam! Hata single ladies dio wengi wanaongoza kuwa na relation na wenye waume!! Hivo kotekote Hakuna usalama!!
Hahaaaaa! Mpaka wamenivika uibilisi utadhani mie KU POINT OUT THE OBVIOUS NDO NAWATIA WANANDOA ROHO HIZO ZA USHETANI!Umesema kuwa lara 1 hajaolewa;
Kinachokusumbua hapo ni nini kwani, pamoja na kuwa mengine
uliyoyakoti ni ukweli pia.
Yeye alisema tu kama ule mfano wa abunwasi aliyejenga nyumba
hewani.
Ndoa ngapi zinamomonyoka kama barafu ya mlima kilimanjaro?
Ndoa ngapi kila mwanandoa analala chumba chake?
Ndoa ngapi mwanaume analeta mwanamke mwingine hadi ndani?
Ndoa ngapi mwanamke huwezi uliza kipato cha mume?
Wengi wanakwenda hivyo hivyo ili mradi siku ziende.
Hahahaaaaa! HIVI HATA KWA KUTANIA NIMEWAHI KUSEMA NAPENDA MWANAUME KAMA WEWE? Hahahahaaaa! Unachekesha kweli!
MIE HATA NIPEWE BUREEEE SITAKI UNIOE! Hata niwekewe kisu shingoni SITAKI UNIOE!
So dude KEEP YOUR DISTANCE!
MDOMO MALI YANGU, NITAONGEA MPAKA MWISHO WA DAHARI!
Hahahaaaaaa! Kwa hio credibility ya anachosema inategemea kama kaolewa au la?wewe umeoa au umeolewa?
Hahahaaaa! Hio ya Zanzibar mahakama yake SALUNI, WANANDOA WANALIAJE MANAKE BI MDOGO ZANZIBAR ANATOA, YEYE NDO ANAJISHAURI aachie buti lifunguliwe au waiache ndoanoooo! Maofisini humuu napo wana tungaa, vyoniia wanawake wanatunga Zanzibar kumalizwaaa? HAHAHAAAAAA! Msitudanganye! Wengine WANAUME MNAGOMA KULA ZANZIBAR WAKE ZENU WANASHINDWA KUVUMILIA ZANZIBAR WANAZITOA KWA VIJANA KWA PROMOSHENI, SIKU YA KUZAA MWASHANGAA MWATUKANWA! MUULIZE MKUNGA YOYOTE HALI YA ZANZIBAR KWA WAKE ZA WATU WANAOJIFUNGUA IKO VIPI?
SIO WANANDOA WOOOTE NDO NAWALENGA HAPA LA HASHAAA BAADHI YENU MLIOZOESHWA HUU MCHEZO WA ZANZIBAR MNAWAHARIBIA WENZENU! WENGINE KUKWEPA MIMBA KUCHACJUA DAMU NDANI YA NDOA NDO MNAIKIMBILIA ZANZIBAR! Laaanakum hiii!
HUO USIRI NDO HYPOCRISY YENYEWEEEEE! Mabaya yako wayaficha na kujikausha yawengine washiriki kusikitisha! Huoni kwa mfumo huo wanandoa mnawaonea wasio na ndoa!
Hahahahaaaaa! Today is your lucky day! Niko na MKE WA MTU HAPA ANANIOMBA NIMTAJIE DAWA YA KUTOA MIMBA YA 3 DAYS (THE AFTER PILL) MANAKE KACHEZA MECHI YA NJE KAVU KAVU MKE WA MTU HUYO CHUPI INAMBANA HAPA, MOJA HAIKAI, MBILI HAIKAI. HAHAHAAAAAA,
Wanandoa kwa HYPOCRISY hamna mpinzani, JIPETE KUBWAAA, mda kama huu ndo mnakuwaga wa wazi, maana kumuuliza why, AKATIA MUME MWENYEWE KIBAMIA YULE, MI NIMEFATA FUTURE TU PALE! Hahahahaaaaaaa! (Sicheki kama mazuri la hashaaaa! Nacheka kwa masikitiko tu!)
Hahaahaaaa! Sina stress YOYOTE hata angekuwa ashafanyiwa mwaka 90 wa mwisho, hainisumbui!si bure unaonekana una stress!! na inawezekana company yako yooote wamwisho anafanyiwa kitchen party wkend hii...pole sana.nikawaida wala sishangai....mimi hunijui ckujui...ila kwa maongezai yako tu YOUR NOT WIFE MATERIAL.PERIOD
Eti mme mwenyewe kibamia huyo anaonekana ni shoga yako amabao mnakuwa mmetumika hasa wakati wa ubinti wenu mmekutana na mikuni ya kila namna ndo mkajua liukuni na kibamia mpe pole ila mwambia asicheze na damu ya mtoto,kama hujatunga story ili ikusaidie kujenga point.
Mkuu kwa jinsi ulivyoandika hii mada yako naweza kuona busara na utu uzima ulioko kwenye maandishi yako
Ninachotaka nikushauri ni kuwa mabinti aina ya lara 1 wanakuwa na mitizamo hii kwakuwa wanakuwa wanapambana na hofu zilizoko ndani mwao kuhusiana na suala zima la ndoa,wanaiogopa
Sasa wanadhani kupambana kwa kuipaka matope wataokoka nayo
Nadhani unajua kabisa kuwa mtu kama anakuogopa atashinda mtaani kwenu akikukashifu kila uchao,anapofanya hivyo sio kwamba anafanya hivyo kwakuwa na lengo la kukupaka matope,hapana,anakuwa anapambana na hofu zilizoko ndani mwake kwakuwa anajua kabisa anakuogopa sana
Huyu mwache na akiendelea kukua atakuja kugundua kuwa alichokuwa anakiogopa hakikufaa kuogopwa hata kidogo kwani ni cha kawaida,nilipokuwa na umeri fulani hivi nilikuwa napambana na vijana wenzangu ambao walikuwa wanajiingiza kwenye ndoa
Lakini zaidi nilikuwa nashauriwa na watu wazima kuwa kinachonisumbua ni hofu ya ndoa na umri tu lakini sikuwaelewa,waliniambia kuwa siku nikija kuoa au kukua mambo yatabadilika sana
Leo hii sijaoa lakini nimekua na nayaona mambo kwa mapana yake na sina haja ya kuikashifu au kuisema vibaya au kuigopa ndoa kwakuwa huo ni utoto!!
Hahaahaaaa! Sina stress YOYOTE hata angekuwa ashafanyiwa mwaka 90 wa mwisho, hainisumbui!
KUMBE UNAJUA HUNIJUI SIKUJUI SASA KUJITIA SIPENDI MWANAMKE FYOKO FYOKO MWAMBIE MKEO HAYO COZ UNAMPA KUNYA BUREE MJINI,
Wengine tunakuona Lafa tuuu, kamba nani, kwani unatusaidia nini humu mjini?
Hata kuwa wife material kwa watu kama wewe, mniweke kwenye jiko la mkaa, nishindekwenye sinki mnanipiga free pumbu kunifuja mwanzo mwisho SITAKIIIIIIIIIIIIIIIIIII KABISAAAAAAAA! Wafujeni hao hao sisi wengine TUPO AVAILABLE TO THEHIGHEST BIDDER!
Hahahaaaaaaa! ILA MKE WA MTU MWENZENU KWENYE HIO TAASISI ATIIII!Eti mme mwenyewe kibamia huyo anaonekana ni shoga yako amabao mnakuwa mmetumika hasa wakati wa ubinti wenu mmekutana na mikuni ya kila namna ndo mkajua liukuni na kibamia mpe pole ila mwambia asicheze na damu ya mtoto,kama hujatunga story ili ikusaidie kujenga point.
Hahahaaa THAT WILL BE COUPLE OF DECADES TO COME! On the mean time THE POLICY STANDS!hihihi highest bidder your menopause!!
Unaweza kuijua mitaa ya New York bila kufika?HAHAHAHAAAAAAAAAAA!
Huu wala sio mtizamo NI UKWELI HALISI WA MAMBO YALIYOPO KWENYE JAMII YETU SEMA WATU SABABU UNAFIKI NA JADI YETU WANAFUMBIA TU MACHO! ILA HAMNA JOPYA CHINI YA JUA KATIKA YALE NILIYOYATAJA!
Hapana,wala hili sio jambo la ajabu kwani mambo yanakwenda kwa kanuniHofu iliyokuwa ndani yako wewe isemee nafsi yako, kujifanya unayajua ya nafsini mwetu ni uongo na upotoshaji wa hali ya juuu! We mambo ya nafsini mwetu umeyajuaje? Tangu linibinadamu akajua ya nafsini mwa mwenzie? UONGO MTAKATATIFU HUO!
Ngoja nirudie tena kukuuliza bibieHaijapakwa matope YAMESEMWA TU BAADHI YA WAYATENDAYO WANANDOA! JIPUA LIPI CHINI YA JUA KATI YA YALE AMBALO WANANDOA AMBAO WANAKILA MPAKA ZANZIBAR HAWAJATENDA? Punguzeni unafiki kidogo,
Labda nikuambie tu kuwa kwenye maelezo yangu wala sijazungumzia masuala ya wewe kumuogopa yoyote,nasikitika umeshindwa kuelewa nilichoandika kwakuwa unaongozwa na hisia za hofu zilizoko ndani yako na pengine inawezekana kuwa kuna unaemuogopa humuMIMI SIMUOGOPI MTU YEYOTE HUMUUUUUU! Namuogopa Mungu tu! NA KAMA YA UONGO MBONA KIMEWAUMA MNATAPA TAPA? JIWE NILIRUSHA GIZANI SI MNGELIPUUZA TU? Nyooooooo! Nimepiga ikulu mnabakia kuweweseka kuanzisha thread!
Hahahahahaaaaaaaa ........Upuuzi mtupu NIKUE MARA NGAPI? Mmeishiwa hoja mmebakia na umri! Jepi wanalofanya watu wazima mi sifanyi!
Hahahahaaaaaaa .......AFU USIPENDE KUJIFANANISHA MIMI NA WEWE, WEWE KAMA UNAYAOGOPA MAISHA, SIJUI NDOA, SIJUI WATU WAZIMA, SEMEA NAFSI YAKO, SIO KUTUSEMEA WATU USIOTUJUA SABABU UNADANGANYA!
Hii haikusaidiiMARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION PERIOD,!!?!!
Hahahaaaa! Hio ya Zanzibar mahakama yake SALUNI, WANANDOA WANALIAJE MANAKE BI MDOGO ZANZIBAR ANATOA, YEYE NDO ANAJISHAURI aachie buti lifunguliwe au waiache ndoanoooo! Maofisini humuu napo wana tungaa, vyoniia wanawake wanatunga Zanzibar kumalizwaaa? HAHAHAAAAAA! Msitudanganye! Wengine WANAUME MNAGOMA KULA ZANZIBAR WAKE ZENU WANASHINDWA KUVUMILIA ZANZIBAR WANAZITOA KWA VIJANA KWA PROMOSHENI, SIKU YA KUZAA MWASHANGAA MWATUKANWA! MUULIZE MKUNGA YOYOTE HALI YA ZANZIBAR KWA WAKE ZA WATU WANAOJIFUNGUA IKO VIPI?
SIO WANANDOA WOOOTE NDO NAWALENGA HAPA LA HASHAAA BAADHI YENU MLIOZOESHWA HUU MCHEZO WA ZANZIBAR MNAWAHARIBIA WENZENU! WENGINE KUKWEPA MIMBA KUCHACJUA DAMU NDANI YA NDOA NDO MNAIKIMBILIA ZANZIBAR! Laaanakum hiii!
HUO USIRI NDO HYPOCRISY YENYEWEEEEE! Mabaya yako wayaficha na kujikausha yawengine washiriki kusikitisha! Huoni kwa mfumo huo wanandoa mnawaonea wasio na ndoa!
Baba Paroko umenifumbua macho.
Hahaaaaa! Graduate utaemuoa wewe mchimba chumvi toka mkoani! Hahahaaaa! SIWI MPOLE NA SITISHIKI NA LOLOTE!mwache aendelee kujivua nguo apa.....ata ndoa ya uzeeni anaipeperusha..tatizo kuna menopause ndio kimbembe...yaani wanawake wawage wapole tu.....mie at 50 naoa 24 graduate na nnazaaa....
Kwani milage inasoma ngapi saivi?Hahahaaaaa! Ili ukaniloge vizuri eeeh! Nitakupa kadi!