Majibu kwa lara 1

lara 1 Ushapita pande izi maana Naona unatuhumiwa hapa!!
 
Last edited by a moderator:
NDO HYPOCRISY NAYOSEMEA MNTAKA VIZURI TUUU VITAJWE VIBAYA AAAAAH! Hovyoooooo!

Na wale wazazi wangu mimi, WHAT I SAY OR DONT SAY ABOUT THEM IS UP TO ME!

Lala1 wewe nitakuwa cha wengi make unakoelekea lazima uwe cha wenye hamu.
 

1.Nashukuru sana umerudi kujibu hoja umeanza kwa kueleza kuwa umetumia uhuru wako wa kueleza unachofikiri na neno ako si sheria,sina tatizo na hilo.

2.Kama ulikuwa una tahadharisha watu wote sawa lakini nilivyosoma niliona kuwa umewalenga wana ndoa tu kana kwamba masahibu magumu hayawapati wengine.

3.Unasema kwamba mapaka sasa hakuna nilipothibitisha kuwa ndoa ni hypocritical institution unasema ni kutokana na kutoeleza mabaya tunaongelea mazuri tu.Kila taasisi ina namna yake ya kukabili changamoto, matatizo ya wana ndoa humalizwa na wana ndoa wenyewe na siyo nje ya ndoa,matatizo ya ndoa hata kama mtakwenda wapi hamuwezi yamaliza maana ni uamuzi wa nafsi moja kuachilia kwa ajili ya mwingine.
kama mmoja hayuko tayari kuachilia hakuna sehemu yoyote wanaweza toa suluhisho,hivyo si maadili ya ndoa kusema siri nje.kwa hivyo unapoona watu hawasemi mabaya ndiyo ethics za ndoa hizo.

Kwa hivyo matatizo yapo, kama vile hata nyinyi mlio single mnaojirusha na wanaume,matatizo yapo mengi tu,kama kutoa mimba,kuingiliwa kinyume cha maumbile maana unakuwa umekula vya watu,kusokomezwa mitulinga ya kila namna maumivu makali,kukandamizwa na jamaa laa kilo 120 umo tu na mijasho wee,kupata magonjwa ya zinaaa,kulea watoto wasio na baba,upweke wa kukosa mme yote haya ni matatizo,naa nikilinganisha na aliye kwenye ndoa ana heri mwenye ndoa mara dufu.

4.kukuambia ubaya tabia yako ya kuchuna hakunifanyi nisiwe na hatia au kuonekana mtakatifu,mimi nimeeleza ambayo huwa unajisifia kila siku,na bado nasisitiza si mambo mazuri siyo kwamba nakuhukumu.

umemaliza kwa kukazia watu waache kuficha kueleza madhaifu ya kwenye ndoa,maadili ya ndoa hayako hivyo labuda uanze wewe ueleze masahibu ya kujirusha maana najua huko hakuna maadili ya kukuzuia usitoe siri tofauti na ndoa.
 
Huyo Lara1 ni mropokaji tu na hakuna anachokijua zaidi ya theories tu za hapa na pale..vitu vingi anavyozungumzia si kweli katika muktadha wake halisi...ni ngumu sana kuzungumzia ndoa kama hujawai kuwemo katika ndoa! nadhani yey e anafahamu zaidi harusi kuliko ndoa, pia nina uhakika hata yeye mahusiano yake yana matatizo sababu mtazamo wake katika mahusiano ni wa kufikirika zaidi kuliko reality! Pia sidhani kama yeye mwenyewe amewahi kudumu na mtu hata mwaka which denies her the right to talk about ndoa! kwa taarifa yake ndoa sio kama kwenye movie za kuigiza ndoa ni reality na hazifanani..Ingia ndani uone!
 

Mi najua nyie mmetofautiana ki2 kdogo sana lakni mitazamo yenu iko sawa
Labda ww useme hvi kwe uzi wako MARRIAGE IS FIFTY FIFTY DEPENDING ON CERTAIN CIRCUMSTANCES, bdala ya kuweka hyo HYP......
Kwasabab ulo yaandka na aliyoyaandka mwenye uzi huu hakna lisilotokea ktk ndoa na ili kumaliza mzozo.
 

Kweli mkuu,Wengi wanafikiri ni maigizo ya akina kanumba ndoa ni uhalisia na maisha ya ndoa ni tofauti na maisha ya girl/boy friend wajue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…