mwallu NA miss neddy nimeona niwasalimie dada zangu! Mko poa Lkn?
Sijamuona wifi yenu Khantwe Leo? Au katoroshwa?
Dada zangu nawapenda sn
Siku njema!
Hahahahaaa
Hiyo ndio NDOA UNAFIKI!
Ahahaha....au katekwa...au gari Yake imepata ajali...au yuko kwa mama Yake.....auuuu Ndo kashachepuka...
seriously kuna ndoa ambazo ukiona wanavyoishi unaishia kusema "Bless me ooh Lord,nami nikaishi na mume wangu kama wanandoa wale"
na kuna zingine duh..ni majanga
kama zilivyo changamoto kwenye mahusiano kabla ya ndoa..kuna changamoto pia kwenye mahusiano ndani ya ndoa
muhimu ni kujua namna na nani wa kumhusisha katika kupambana na changamoto hizo
wazazi wetu waliweza..why not us..lets be positive...
Tatizo wengi huingia KTK NDOA kwa SABABU zao binafsi!
Wengine hufata Mali, wengine kusaidiwa kimaisha yani kila mmoja NA SABABU zake NA ndo maana huzaa NDOA UNAFIKI COZ SIO MTU SAHIHI!
Lkn km ukimpenda MTU jinsi alivyo km MUNGU alivyotupenda sisi NA makosa yetu basi NDOA itakua nzuri sn maana UPENDO HUVUMILIA NA HAUHESABU MABAYA! NA yoyote Mwenye hofu au Mashaka hakufanya KAMILIFU KTK UPENDO COZ HOFU MASHAKA IMEJAA MATESO CHUKI ETC!
Exactly my point mkuu...!
...Sijui wenye hoja ya kuhusisha NDOA--->UNAFIKI wanaliangalia vipi swala la URAFIKI(NGONO)--->UNAFIKI? Au huo ni unafiki wa waziwazi, mimi sijui. Lakini katika mahusiano yasiyo rasmi kuna UNAFIKI mwingi sana, kutatishana tamaa kwingi sana, kupotezeana mda na malengo. Au kwa vile watu wamejichokea, wametafuta MR/MISS RIGHT na hapatikani ndio maana wameona kurusha mawe kwenye taasisi iliyobarikiwa na MUNGU ndio UNAFIKI.
Lakini pia mkuu Ntuzu, tuangalie na hisia kwa nyakati tofauti. The same people who criticise marriage leo, wiki/mwezi/mwaka iliyopita walihitaji sana kuwa ndani ya hii taasisi, lakini uwezekano kuwa mambo hayakwenda walivyotarajia kumewakatisha tamaa na wanaona bora wakatishe wenzao tamaa.
"Hata hivyo, ndoa haikuwekwa kwa ajili ya watu wote, wengine watabaki hivyo''
Mie sikumwelewa Lara maana niliona mkanganyiko,kimombo mara kiswahili!mbwembwe tu nikapita!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Laraaaaa i gat medicines for youuuu
Binafsi niliyeko ndoani nakutazama (mtazamo) lara 1 kama kiashiria cha 'aliyeshindikana' au irreparable.
Huwezi kuwa king'anganizi wa mambo usiyoyajua na kuwabishia mpaka walioko ndoani(wenye uzoefu wa kutenda sio kusikia tu)...that's ridiculous!
Yes kila mtu ana uhuru wa mawazo,lakini pia kila mtu ana uhuru wa kujifunza kutoka kwa waliomtangulia na walio na uzoefu wa mambo husika...sio kubisha tu.
Napenda unavyo-argue lara 1 very sensible kwa washabikiao mambo bila kufikiri, lakini ni tupu kwa tulioko ndoani...either una chuki,ulitendwa au uliyemtegemea alikutosa etc
Kifupi una tatizo...japo naheshimu mawazo yako.
*sorry kwa kauli yoyote isiyokupendeza.
Ntuzu, Sina uhakika kama utapata majibu katika hali ya utulivu. Approaches zetu katika kujibu hoja zinatofautiana kwa hiyo usishangae sana..
huu mtanange si wa kukosa...