Majibu baada ya kupima UKIMWI

akidaakidah

New Member
Sep 19, 2015
2
0
Habari ndugu zangu maana Watanzania wote ni ndugu. Mimi ni mkazi wa Tanga na siku yangu ya kwanza ya maisha yangu kwenda kupima UKIMWI katka hospitali fulani.

Nimeyakimbia majibu kwa kuwa na hofu ya kupata majibu. Je ni njia gani sahihi ya kupata majibu yangu?

Na wewe unaweza kutoa ushuhuda wako kipindi unaenda kupima na kupokea majibu ya Ukimwi ilikuwaje?
 
Kama unao unao tu unakimbiaje kitu ambacho hata ukitoka hapo hospitalini hukiachi bali unakimbia nacho!!! Acha uzwazwa kachukue majibu yako Kama huna huna tu.
 
mkuu achana na iyo habari, hivi vipimo vyenyewe vya kipuuzi sana. kaa na amani yako mpaka pale utakapo lazimika (iwe jambo la muhimu na lazima) tofauti na hapo ni kujitakia mawazo ya kipuuzi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom