Majib mapyaa ya methaly za kiswahl kwa year 2012

Majib mapyaa ya methaly za kiswahl kwa year 2012

Joined
Dec 19, 2011
Posts
11
Reaction score
3
Samaki mkunje= mpaka aenee kweny kikaango #2 haba na haba = haba mbili #3 asiyefunzwa na mamaye =yatima #4 simba mwenda pole =anamnyemelea yanga
 
penye kuku wengi..... chinja wawili watatu
mwenda pole..... atachelewa kufika
aisifiaye mvua..... Hakai mabondeni huyo
 
aisifuye mvua: hakai mabondeni au anauza miamvuli
 
>>mchumia juani- kivulini hawezi.
>>avumae baharini papa- nchi kavu simba
 
Mwenda pole..hana haraka.
Penye kuku wengi..kuna marasi.
Asiyesikia la mkuu..kiziwi.
Ndo ndo ndo...kwa ubwabwa.
Wazee wa 'copy posted' vipi mmezimia?
 
Baniani mbaya=apake enjo fesi!
 
Ktk miaka ijayo haya majibu tutayategemea kwenye mitihani ya wanetu
 
Back
Top Bottom