Maji ya moto yamekuwa baridi huyu mpenzi simuelewi

mwezii mmoja au mwaka mmoja? yani ndani ya mwezi ushatoa na huduma hadi na miradi imeshabuniwa duh huyo kweli wa mwendokasi, ila mnakoseaga wenyewe alafu mnalaumu wanawake sasa kaka jamani ndani ya mwezi mmoja ushatoa hadi huduma za pesa as if umemkuta ni yatima ulitegemeaje? ofcoz lazma aende na mdundo ulioanza nao
 
Nina mpenzi ni mwanachuo nimekuwa name uhusiano nae mwezi mmoja tumeanza mahusiano alipotoka chuo kuja likizo yeye anasoma mzumbe Mimi ni mfanyakazi , nimekuwa nikimsaidia matumizi madogo madogo kama vocha na akiwa anashida na pesa nampatia , kwasasa nimesafiri mkoan nimekuja kusalimia wazazi , mpenzi Wang kanipa wazo la kuanzisha biashara ya kufuga kuku nikamwambia wazo lake zuri lakini nani atawasimamia akanambia akienda chuo atawachia wazazi wake wasimamie , hapa Niko njia panda nimeshindwa kumuelewa amewezaje kunieleza haya yote wakati anajua Mimi sijatambulika kwao na lengo lake nini , naisi kama naibiwa hakuna mapenzi labda ananitumia tu, naitaji ushauri wakuu
Sihakuelewa, ufuge kuku kwako au kwa?
 
Huyo amekueleza kutokana na wewe ulivyojieleza.
Iwapo ulimuahidi kumuoa,yeye anakusudia kukujengea nafasi ya utambulisho kwa wazazi wake.Na pia kukupa thamani(reference).
Inawezekana kwa kuwa unamsaidia na yeye amejiongeza kwa kutaka kupunguza utegemezi kwako hivyo anataka pawepo na kitu cha uzalishaji ili kuepusha kuwa mzigo kwako.
Wewe ndiye maamuzi,hakuna mwanamke mbaya bali ubaya hutokana na wewe ulivyojipambanua awali.
Nakushauri ushirikiane naye kwa kuanza na mradi mdogo utakaoumudu huku ukijiongeza kwa kujifunza.
 
Yani mapenzi ndani ya mwezi tu, tayari umekuwa bwege hivyo? Subiri muoane ndo muanze hayo mambo ya miradi...kama huna ndugu wa uhakika wa kusimamia mwambie kwa sasa nina mambo mengi, mtolee nje endelea kumchunguza.
 
mwezii mmoja au mwaka mmoja? yani ndani ya mwezi ushatoa na huduma hadi na miradi imeshabuniwa duh huyo kweli wa mwendokasi, ila mnakoseaga wenyewe alafu mnalaumu wanawake sasa kaka jamani ndani ya mwezi mmoja ushatoa hadi huduma za pesa as if umemkuta ni yatima ulitegemeaje? ofcoz lazma aende na mdundo ulioanza nao
Haaaaah haaaaaaah....sina mbavu na haya maneno yako!! Kaja kwa mwendokasi lazima bibie nae aende kwa speed ya mwendokasi!
 
mwezii mmoja au mwaka mmoja? yani ndani ya mwezi ushatoa na huduma hadi na miradi imeshabuniwa duh huyo kweli wa mwendokasi, ila mnakoseaga wenyewe alafu mnalaumu wanawake sasa kaka jamani ndani ya mwezi mmoja ushatoa hadi huduma za pesa as if umemkuta ni yatima ulitegemeaje? ofcoz lazma aende na mdundo ulioanza nao
sikutaka kumuhudumia mapema yeye ndo huwa anaomba Mara nyingi ila wakati mwingine huwa namsaidia mwenyewe baada ya kulalamika sana
 
yani hilo swala la kuomba hela kiasi hicho na malalamiko juu ndani ya mwezi ya mwezi mmoja tu ilitakiwa iwe tiketi ya kumbwaga, doh wanawake wengine wana bahati jamani
 
ni mpenzi ila kwa hatua hii ananitia wasiwasi nafikiria mpaka kumuacha

Acha woga wewe, umuache kwa ajili ya mapopoma kadhaa Wa JF. Binti katoa wazo ambalo ni zuri na inaonesha ni binti ambaye anajielewa. Cha msingi ni kumCounter, weka ground rules na mazingira ambayo kama ana lengo bays asifanikiwe. Ila kumuacha kisa comments za JF utashangaa unatandikia watu jamvi.
 
Yani mapenzi ndani ya mwezi tu, tayari umekuwa bwege hivyo? Subiri muoane ndo muanze hayo mambo ya miradi...kama huna ndugu wa uhakika wa kusimamia mwambie kwa sasa nina mambo mengi, mtolee nje endelea kumchunguza.
asante kwa ushauri wako
 
Huyo amekueleza kutokana na wewe ulivyojieleza.
Iwapo ulimuahidi kumuoa,yeye anakusudia kukujengea nafasi ya utambulisho kwa wazazi wake.Na pia kukupa thamani(reference).
Inawezekana kwa kuwa unamsaidia na yeye amejiongeza kwa kutaka kupunguza utegemezi kwako hivyo anataka pawepo na kitu cha uzalishaji ili kuepusha kuwa mzigo kwako.
Wewe ndiye maamuzi,hakuna mwanamke mbaya bali ubaya hutokana na wewe ulivyojipambanua awali.
Nakushauri ushirikiane naye kwa kuanza na mradi mdogo utakaoumudu huku ukijiongeza kwa kujifunza.
hata hivyo its too soon jamani, mwezi mmoja ameshabuni mradi wa kumpunguzia matumizi, kwani siana wazazi kabla yakukutana na huyu kaka alikuwa anaishije? na uliona wapi ndoa ikawa planned watu wamekutana ndani ya mwezi tu? hapana kwa kweli
 
mkuu
Mimi nashindwa kukuelewa wewe mwanaume. Yaani hela unampa na unamuhudumia mahitaji yake. Ila kukwambia muanzishe mradi wa kuku unaona kama unaibiwa Kisa tu kasema atawaachia wazazi wake wasimamie. Sasa mimi nakuuliza swali. Je mfano ikatokea akapata hela akafungua huo mradi je bado utampenda au utapunguza Upendo? nasubiri jibu
naona hukumwelewa fresh jamaa ... kutoa hela na kuanzsha mradi tofauti nadhani jamaa kasema hua anatoa matumiz madgomadgo kama vile vocha n.k sasa kuanzsha mradi kabisa hyo ni shughuli nyngne aiseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom