Maji ya moto yamekuwa baridi huyu mpenzi simuelewi

Msaidie mtaji aanzishe hiyo biashara na wala usiwe na mawazo kwamba ni yenu wote, ametafuta namna ya kukuomba mtaji ili ainue familia yake ameshindwa , msaidie tu km hela unayo.
 
Mkuu kwanza kwa wazazi wenye msimamo na wanaelea watoto wao vizuri hawawez kukubali kitu kutoka kwa mtu ambae hawamjui,unless yeye kawaambia kuwa wewe atawapa mtaji kwa hiyo anakuomba ili atimize ahadi.
Kama unampenda na unataka sana hiyo biashara fanyeni makualiano ya kimaandishi.
 
Akina dada wa design hii wash*nzi sana anataka ahongwe halafu awapelekee hadi wazazi wake wakale vya kuhongwa.
To get experience with women just give her the capital but bear in mind that you are just feeding a dog that bites the hand feeding it.
 
Mwanaume hata ukioa kufungua miradi yako kwa wakwe ni kufeli kufikiria kwa kuwa hiyo itakuwa miradi yao maana usimamizi watakuwa nao wao ni mkubwa kuliko wewe hapo kama mradi unafungua kwaajili yenu wawili fungulia kwenu ajiri kijana wa kusimamia
Muda mwingine mapenzi ni kama kubet je ikitokea mmtengana mradi utakuwa wa nani hapo lazima ulie kilio cha samaki
 
"...Mapenzi kati ya mwanachuo na mfanyakazi huwa hayana mustakabali tarajiwa...."

Dr. Kishije
 
Ukishampatia huo mtaji, baada ya siku chache utasikia, Sasa hivi hata sijisikii kupokea simu zako! Nikikuona najisikia kichwa kuuma, sijui tuachane? Hapo hazungumzii mradi wa kuku uliougharamikia!
 
mradi kwao??? hapana ,.mradi kwako afu mwajiri kijana mai huo uwe karibu na kwako ukitoka job unasimamia mwenyewe + weekend
 
yani hilo swala la kuomba hela kiasi hicho na malalamiko juu ndani ya mwezi ya mwezi mmoja tu ilitakiwa iwe tiketi ya kumbwaga, doh wanawake wengine wana bahati jamani
Kwani Muda wa kuanza kuomba hela ni miezi mingapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom