Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 14,528
- 27,052
Huku ni Jua Kali.
Katika heka heka za kukata kiu nikajipatia chupa ya maji tajwa, Brandi ya DASANI.
Imekuwa kawaida kuzingatia pH kama kizio cha kupimia, ikiwa maji yana alkali au tindikali kulingana na uwiano wa madini na chumvi mbalimbali kwenye hayo yanayoitwa Maji Safi.
La haulah!
Sijaona pH kwenye hii chupa. Nini kimetokea? Ni utaratibu wao siku zote au ni toleo hili tu?View attachment 2687740