Maji mengi ukeni

punguza kutumia nguvu wakati wa tendo. hyo pia inasababsha ile sehemu kulainika sna af inalegea na kuwa tepetepe.\
 
Kwani wewe nani kakwambia kuwa na maji mengi ni tatizo? Kama ulonae hayapendi kuna sisi tunaoyatafuta.... kwani ni raha sa kufanya ile shughuli na mwanamke mwenye maji mengi na tuko wengi sana tunaoyapenda hivo usisumbuke kutafuta hiyo dawa usijejuta ukiyakosa!!!! :nerd:
 
Hebu niletee hapa fasta. Chezea vitu watu tunapenda bhana! Kavu si ndio wale wanaofanya kazi na Ulimboka wale wanasema ndio chanzo chakupatia VVU? Sasa kwanini unataka ulete kavu? Lete hivyo hivyo waterlogged ndio salama zaidi.
 
Maji maji yanatakiwa yawepo ukeni wakati wa tendo hampati mchubuko ni raha sana, ila yasiwe mengi mpaka inakua chubwichubwichubwi
 
jamani great thinker ,mchumba ana tatizo la kutoa maji mengi sana wakati wa tendo la ndoa ,naombeni njia ya kuamaliza hili tatizo kwani inanikera sana
 
Tendo la ndoa ni kwa wanandoa tu na sio kwa wachumba.
Hicho mnachokifanya nyinyi ni ngono na ndio kiini cha tatizo lenu.
Dawa yake ni kuacha kufanya mpaka hapo mtakapokuwa mmeoana.
 
mwambie aache kuvaa nguo zinazobana kiuno...la sivyo itafika kipindi kitu kitakua kama Ruvu Chini
 
jamani great thinker ,mchumba ana tatizo la kutoa maji mengi sana wakati wa tendo la ndoa ,naombeni njia ya kuamaliza hili tatizo kwani inanikera sana
pole sana kwa tatzo so nakuwaje ndan ya uchumba kunakuwa na tendo la ndoa?m nadhan unakosea sana unaposema hvyo hilo tendo mnalofanya s la ndoa litafute jna lake huska tendo la dnoa ni kwa walioa na kuolewa tu period,sion ni kwa namna hlo ttzo ingawa wataaluma wa magonjwa ya wakina mama wanaweza kusadia,vingenevyo hyo inaweza kuwa namna ya huyo mama kuelekea peak ya kibo.....
 
Mbona hiyo ni kawaida bro. Mwanaume akifikia kilele huwa anachuruzisha maji huko kwenye huo mto Ruvu, pamoja na huyo Anna wako nae akifikia kilele kutokana na mbwembwe unazomfanyia nae anaongeza maji mtoni. Ndio starehe yenyewe hiyo kaka, huo Sio ugonjwa. kumbuka hayo maji yanasababishwa na mbwembwe zako pia husaidia kulainisha huo mto ili usiwe na michubuko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom