Maji mengi ukeni

Tendo la ndoa ni kwa wanandoa tu na sio kwa wachumba.
Hicho mnachokifanya nyinyi ni ngono na ndio kiini cha tatizo lenu.[/b]
Dawa yake ni kuacha kufanya mpaka hapo mtakapokuwa mmeoana.


Mmh! Na wale wanawake wenye ndoa tayari na watoa maji mengi, unasemaje hapo mkuu?
 
1. Unafanya dhambi kufanya tendo la ndoa kabla ya kuoana, na inabidi kipekee utubu kwanza kabla ya kufungishwa ndoa,
2. Kutoa maji mzee ni kitu chema na kuna raha yake mzeeeee....!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom