Maji Katoliki ni soo

Maji Katoliki ni soo

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Watu watatu walibugia maji katoliki mpaka wakawa bwii, basi wakaanza kurudi nyumbani huku wanaimba wimbo wa parapanda (....Parapanda italia parapanda..) x 6.
Basi kwa kuwa ilikuwa ni siku yenye mvua mvua, mara radi ikalia, basi jamaa wale kusikia vile bado kidogo wavunje miguu kwa kukimbia huku na kule wakijua kuwa ni parapanda ndo ishalia hivyo kuashiria mwisho wa dunia.

Ama kweli maji Katoliki ni sooo
 
Huu ni uhuni...hapo katoliki inakujaje..?( au unamaanisha maji ya baraka)
 
mbuzi katoliki!!
Maji katoliki!!

Msishangae kukuta na demu katoliki, tendo katoliki, mahali katoliki, n.k.

But why not Lutheran, Anglican, Born Again or Sabath?
 
Ni kwamba pombe inanywewa na wakatoliki tuu
tafuta kingine cha kuwasifia wakatoliki
 
Watu watatu walibugia maji
katoliki mpaka wakawa bwii, basi wakaanza kurudi nyumbani huku wanaimba
wimbo wa parapanda (....Parapanda italia parapanda..) x 6.
Basi kwa kuwa ilikuwa ni siku yenye mvua mvua, mara radi ikalia, basi
jamaa wale kusikia vile bado kidogo wavunje miguu kwa kukimbia huku na
kule wakijua kuwa ni parapanda ndo ishalia hivyo kuashiria mwisho wa
dunia.

Ama kweli maji Katoliki ni sooo

acha upumbavu wako aliyekwambia wakatoliki wote walevi nani? Jiheshimu unatuharibia mudi badala ya kutuchekesha kenge we.
 
acha upumbavu wako aliyekwambia wakatoliki wote walevi nani? Jiheshimu unatuharibia mudi badala ya kutuchekesha kenge we.

"Jamaa watatu". Haikutaja wakatoliki, haikusema neno wote sasa sijui kutojiheshimu kunakujaje hapo, but anyway najua wengine mmechagua kupinga kila kisichotokana na wewe.
My take: Ulabu kwa wakatoliki siyo issue as long as ume-declare kuwa wewe siyo mlevi ila ni mnywaji tu
 
Watu watatu walibugia maji katoliki mpaka wakawa bwii, basi wakaanza kurudi nyumbani huku wanaimba wimbo wa parapanda (....Parapanda italia parapanda..) x 6.
Basi kwa kuwa ilikuwa ni siku yenye mvua mvua, mara radi ikalia, basi jamaa wale kusikia vile bado kidogo wavunje miguu kwa kukimbia huku na kule wakijua kuwa ni parapanda ndo ishalia hivyo kuashiria mwisho wa dunia.

Ama kweli maji Katoliki ni sooo

nijinc gan unavyowazalau wakatoliki...ngoja nikwambie best katoliki nijina la kipekee liclokopiwa wala kupestiwa upo!! Unge2mia pombe kwa ungeharbu nn..!!
 
wakatoliki punguzeni jazba. maji katoliki has nothing to do na udini, ni slang inayo-refer pombe ya aina yoyote. sometimes pombe huitwa maji ya baraka, maji ya dhahabu etc. sasa kweli beer ni maji ya dhahabu? mie mwenyewe ni mkatoliki tena nilikoswa koswa kuwa sister/nun....but hii kitu sikuifikiria kama nyie wenzangu

SO it is just a slang!
 
Kutofikiri kama sisi wenzako sio hoja ya kufanya mawazo yako yawe sawa; na kwamba ni "slang" haiondoi uwezekano wa kwamba hiyo slang ikatumika kuwaudhi baadhi ya watu. shenz taip! (slang)
 
Back
Top Bottom