- Thread starter
- #21
Kutofikiri kama sisi wenzako sio hoja ya kufanya mawazo yako yawe sawa; na kwamba ni "slang" haiondoi uwezekano wa kwamba hiyo slang ikatumika kuwaudhi baadhi ya watu. shenz taip! (slang)
Kaka wewe yaelekea utakuwa mkatoliki wa kwanza, kukataa kuhusishwa na pombe, wenzako wote pombe kwao siyo issue, issue ni kulewa tu. Kuhusu hoja ya kuudhi watu sidhani kama inamashiko kwani sijawahi kusikia mtaani au ibadani wakichukia maneno kama "Maji Katoliki", "Mbuzi Katoliki" au hata "Maji ya Baraka" soo usitake kutengeneza mazingira kuwa thread imelenga kukashifu huku moyoni ukijua fika kuwa lengo ni uhusiano kati ya kuimba parambanda italia na kuhisi ndo imelia baada ya kusikia mlio. Na hii ni kawaida sana kwani hata mkizungumzia habari za nyoka nyoka kisha kitu kikakutambaa shingoni, mara moja utaruka ukifikiri ni nyoka.