Maji hakuna, kufurahisha Mzungu/Globalist!

Globalist : a person who advocates the interpretation or planning of economic and foreign policy in relation to events and developments throughout the world
Hawa wakwetu wanawaza locally ndio mana wakati dunia inaenda mbele sisi tunarudia nyuma!
Easy kutengeneza visingizio badla ya approaches za kutatua changamoto zetu!
 
Ndio kusema that's pure evil, hio kitu ni km alivyosema mtoa mada wamekausha maji wamayaficha wanasingizia ukame
 
Tanzania haijawahi kukumbwa na uhaba wa maji kwa kiasi hiki.
Ama umri wako ni mdogo sana au ni wale wale...katika dunia hii ya teknolojia unahitaji kujituma kidogo tu kufanya utafiti!

Wakongwe wanazo kumbukumbu za kutisha...k.m. hii picha

1667459980877.png

Huu unaoitwa ukame ni wa kutengeneza ili kumfurahisha globalist, Tanzania haijawahi kukumbwa na uhaba wa maji kwa kiasi hiki.

Sababu za huu unaoitwa ukame ni kuendana na Mkutano wa Global Warming unaofanyika huko Misri ili Globalist apate kuwaaminisha watu kuna global warming, hata Mlima Kilimanjaro wanachoma makusudi kutesa watu, lkn hakuna ukame Tanzania, hawa watu ni pure evil!
Wewe utakuwa mgonjwa ule wa ndugai.
Hivi unaweza kuzuia mvua ili kumfurahisha mtu?
 
Huu unaoitwa ukame ni wa kutengeneza ili kumfurahisha globalist, Tanzania haijawahi kukumbwa na uhaba wa maji kwa kiasi hiki.

Sababu za huu unaoitwa ukame ni kuendana na Mkutano wa Global Warming unaofanyika huko Misri ili Globalist apate kuwaaminisha watu kuna global warming, hata Mlima Kilimanjaro wanachoma makusudi kutesa watu, lkn hakuna ukame Tanzania, hawa watu ni pure evil!
Wewe unashi Duniani Kweli? Tuache kudanganyana maana huu uongo Kuna sehem hawawezi kuung'aamua.

Maji ni Shida na sio Dar es Salaam TU . Namaeneo mengine ya Nchi yanaingia kwenye uhaba Mkubwa.
 
Huo ukame unaotajwa, tuutegemee kutokea siku zijazo lakini hadi muda huu bado hali ni ya kawaida tu. Tathmini yangu ni kisima changu cha mita 15 kilicho chimbwa kwa mikono... Bado hakijapungua ujazo wake kufikia ukame wa mwaka 2009/10.
Tutegemee mvua za vuli zinazoweza kuleta madhara kwenye baadhi ya mikoa.
Mkuu Usiangalie kwako tu , ukaja naTathimini ya kitaifa. Kisima chako linaweza kikauka lakini mito.ikatililisha maji.
Pia mito inaweza kukauka ,lakini kisima Chako kikatoa maji.
 
Huu unaoitwa ukame ni wa kutengeneza ili kumfurahisha globalist, Tanzania haijawahi kukumbwa na uhaba wa maji kwa kiasi hiki.

Sababu za huu unaoitwa ukame ni kuendana na Mkutano wa Global Warming unaofanyika huko Misri ili Globalist apate kuwaaminisha watu kuna global warming, hata Mlima Kilimanjaro wanachoma makusudi kutesa watu, lkn hakuna ukame Tanzania, hawa watu ni pure evil!
Samia anataka kuomba mkopo au msaada kupitia ukame bandia,juzi nimepita Luvu hapo maji yanatirililika tu, Mwanamke huyu anajua kuwatesa sana watanganyika,kisa misaada na mikopo, Mtu unawezaje kuishi week 3 bila maji tena Dar.Harafu wanasema ukame haupo kwenye ilani,ila CCM Mungu anawaona.
 
Back
Top Bottom