Maji hakuna, kufurahisha Mzungu/Globalist!

Watu wanapenda consipiracy theories sana.
Hii natokana na uvivu wa kufanya utafiti na kuiona Dar es Salaam au sehemu aliyopo ndivho TANZANIA yote ilivyo! Hali kadhalika kuokoteza storey za vijiwe vya draft au kahawa!
Jf inakua kama fb!
 
Mpaka wilayani hakuna maji mbona
Visima viwili home vimekauka kabisa
Na ni mbali kabisa na huko unakosema

Global warming is real acheni kukata miti
Kweli hata kama wanaomba ila sio kwa maandishi haya daa
Unajua kuna watu wanaamini mpaka wanaapa Mungu kuwa Holocaust haikuwahi kutokea?

Na wewe pia sikushangai ni akili yako
 
Huu unaoitwa ukame ni wa kutengeneza ili kumfurahisha globalist, Tanzania haijawahi kukumbwa na uhaba wa maji kwa kiasi hiki.

Sababu za huu unaoitwa ukame ni kuendana na Mkutano wa global warming unaofanyika huko Misri ili Globalist apate kuwaaminisha watu kuna global warming, hata Mlima Kilimanjaro wanachoma makusudi kutesa watu, lkn hakuna ukame Tanzania, hawa watu ni pure evil!
🤔🤔🤔
 
Globalist ni nani?

Hawa wanataka kuifanya dunia kijiji na wana malengo ya siri zaidi ya kuwathibiti watu wote duniani wafuate masharti yao na ya mkuu wa giza anayewatuma......
Kwahiyo mkuu unataka kutuaminisha kwamba hakuna ukame wowote?
Nashindwa kukuamini kwa sababu ya kile ninachokiona (conspiracy theories) na kutaka kukwepa kuwajibika kwa jinsi hali ilivyo! Naomba chukua muda pitia hapa taarifa ya Jana kwa waandishi wa habari waliotembelea hifadhi Rauaha na hali halisi katika picha ujue hali kiasi Gani ni mbaya na sababu ni nini: HALI YA MAJI MTO RUAHA MKUU NI MBAYA, ZIMETIMIA SIKU 80 BILA KUTIRIRISHA HATA TONE LA MAJI
 
Mimi nimemjibu jamaa anayehitaji kujua globalist ni nani, wewe unakuja kunilisha maneno ya ukame na conspiracy theories, taratibu mzee.....
 
Kwahiyo mkuu unataka kutuaminisha kwamba hakuna ukame wowote?
Nashindwa kukuamini kwa sababu ya kile ninachokiona (conspiracy theories) na kutaka kukwepa kuwajibika kwa jinsi hali ilivyo! Naomba chukua muda pitia hapa taarifa ya Jana kwa waandishi wa habari waliotembelea hifadhi Rauaha na hali halisi katika picha ujue hali kiasi Gani ni mbaya na sababu ni nini: HALI YA MAJI MTO RUAHA MKUU NI MBAYA, ZIMETIMIA SIKU 80 BILA KUTIRIRISHA HATA TONE LA MAJI

Kwani Ziwa Victoria limekauka? Iweje waliunganishiwa na maji ya Ziwa pia maji yasitoke? Haya ya Mito mna excuse ingawaje kukauka au kupungua kwa maji ni kwenye Mito ni kawaida TZ na halijaanza na Samia lkn siku zote tulikuwa na maji mpaka raisi wenu alipoingia ndiyo “ukame” ukaanza, sasa elezea Ziwa kimekauka pia?
 
Kwani Ziwa Victoria limekauka? Iweje waliunganishiwa na maji ya Ziwa pia maji yasitoke? Unaweza kulijibu hilo swali?
Anayepaswa kujibu ni waziri wa maji! Mimi mashambulizi yangu yanaenda kwa wanaowatetea viongozi wa serikali wanaopaswa kuwajibika na wale chawa wanaowatetea, pia watu wanaokataa kuwa ukame hakuna na kuweka visingizio sijui vya globalists nk!
 
Huu unaoitwa ukame ni wa kutengeneza ili kumfurahisha globalist, Tanzania haijawahi kukumbwa na uhaba wa maji kwa kiasi hiki.

Sababu za huu unaoitwa ukame ni kuendana na Mkutano wa Global Warming unaofanyika huko Misri ili Globalist apate kuwaaminisha watu kuna global warming, hata Mlima Kilimanjaro wanachoma makusudi kutesa watu, lkn hakuna ukame Tanzania, hawa watu ni pure evil!
Inawezekana una maarifa lakini unayabania
 
Huu unaoitwa ukame ni wa kutengeneza ili kumfurahisha globalist, Tanzania haijawahi kukumbwa na uhaba wa maji kwa kiasi hiki.

Sababu za huu unaoitwa ukame ni kuendana na Mkutano wa Global Warming unaofanyika huko Misri ili Globalist apate kuwaaminisha watu kuna global warming, hata Mlima Kilimanjaro wanachoma makusudi kutesa watu, lkn hakuna ukame Tanzania, hawa watu ni pure evil!
Na mto Ruaha Mkuu wana pump maji wanayapeleka sayari ya Mars ili mto uonekane umekauka
 
Anayepaswa kujibu ni waziri wa maji! Mimi mashambulizi yangu yanaenda kwa wanaowatetea viongozi wa serikali wanaopaswa kuwajibika na wale chawa wanaowatetea, pia watu wanaokataa kuwa ukame hakuna na kuweka visingizio sijui vya globalists nk!

Ndiyo hakuna ukame wa ajabu ambao hatujawahi kuuona, ukame upo karibia kila mwaka lkn maji huwa hayakatiki kwa kiasi hiki mpaka alipoingia huyu, hivyo wanakata maji makusudi kutesa watu kufurahisha globalist, hata timing yake tu, maji yamepotea wakati Mkutano wa “climate change” unaanza Misri unafikiri ni coincidence? Kila kitu kimepangwa, …
 
Naomba utuelimishe sisi tusioelewa kwamba wanakata maji maksudi Ili kumfurahisha Nani na wanufaike vipi?
Huo mradi wa kigamboni wa kuleta maji mjini je ni danganyatoto au wanajicontradict wenyewe au hawajui wanalofanya?
Physical au direct experience ukienda sad katika mito mikubwa ambayo inategemewa kuhudumia maji imekauka na wanyama wanakufa, je haya maji wameyaficha wapi Ili kuwafurahisha globalist?

Tunaomba kupata elimu ya hili jambo kwamba hata majirani zetu Kenya na southern Somalia wanaokabiliwa na ukame wa kutisha wamezuia wapi mvua Ili wawafurahishe the so called gobalist?
Naomba kupata kilicho elimu Kuna uhusiano Gani Kati ya kuingia huyu na kuadimika kwa mvua, how is the president connected to the forces of Nature directly!
 
Back
Top Bottom