Maji Gani yapo Safe Kiusalama?

Maji Gani yapo Safe Kiusalama?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
11081014_798643740223588_4428327989187296902_n.jpg
 

Attachments

  • Kinga bora kuliko tiba.jpg
    Kinga bora kuliko tiba.jpg
    30.6 KB · Views: 535
Mkuu Mzizi mkavu unaweza kunipa ufafanuzi kidogo kwanini yawe ya mtungi
 
Last edited by a moderator:

Usalama katika nyanja gani? chanzo cha maji hayo au uhifadhi wake? je maji machafu yakiwekwa mtungini yanakuwa salama? je maji ya bomba yakiweka kwenye mtungi yanakuwa salama?

Kuna nchi za dunia ya mbele ambao maji ya bomba kwao ni salama 100% kwa kunywa.
Tumetumia mitungi tangu enzi na enzi sio kwa usalama wa maji, bali ni kwaajili ya kupoza maji na kuwa katika ladha ya asili.
 
Vipi kuhusu kuhifadhi maji kwenye hizi plastiki za jambo zenye filter ya udongo kwa ndani je ni salama kwa afyauploadfromtaptalk1427373772194.jpguploadfromtaptalk1427373820474.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom