Majesuit ndio walimuua Abraham Lincoln

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
24,501
28,703
IGNATIUS LOYOLA ALIWAHI KUSEMA HIVI pale atakapotumwa kazi na kanisa hata kama ni nyeusi ila yeye ataitafsiri ni nyeupe....

"I will believe that the white that I see is black, if the hierarchical Church defines it as such.” -The Spirit Exercies of St. Ignatius, p. 141, -By Ignatius de Loyola.

Hili nimeliongelea sana...

Sasa tuangalie ni kina nani walimuua Abraham Lincoln...

Naye rais wa Marekani Abraham Lincoln akiwa anakifahamu chama cha Jesuits na kazi zao alisema kwamba:(nitatafsiri kwa kiswahili)

“This War (Civil war) would never have been possible without the sinister influence of
the Jesuits. We owe it to popery that we now see our land reddened with the blood of her
noblest sons”…. “The mormon and the Jesuit priests are equally the uncompromising
ENEMIES of our Constitution and our laws; but the more dangerous of the two is the
Jesuit- the romish priest, for he knows better how to conceal his hatred under the mask of friendship and public deeds for the glory of God…. So many plots have already been made against my life, that it is a real miracle that they have all failed, when we consider that the great majority of them were in the hands of the skillful Roman Catholic murderers, evidently trained by Jesuits. But Can we expect that God will make a
perpetual miracle to save my life? I believe not. ..My escape from their hands, since the
letter of the pope to Jeff Davis has sharpened a million of daggers to pierce my breast,
would be more than a miracle. But just as the Lord heard no murmur from the lips of Moses when he told him that he had to die, before crossing the Jordan, for the sins of his people; so i hope and pray that he will hear no murmur from me when i fall for my nations sake. ..” (Abraham Lincoln)

Tafsiri yake...

“Vita hii isingewezekana kuwepo kama isingesababishwa na Jesuits. Tunamdai Papa sasa kwa kuona ardhi yetu ikienea damu za watu wake…” “Watu jamii ya mormon na makasisi wa shirika la Jesuit ni maadui wa katiba na sheria zetu; lakini kati ya hao wawili Jesuits ndio kundi hatari zaidi – kasisi wa rumi, maana anajua vizuri jinsi ya kuficha chuki yake katika mavazi ya urafiki na kufanya kazi za jamii kwa ajili ya utukufu wa Mungu….hivyo njama nyingi zimewekwa dhidi ya maisha yangu, ambapo ni muujiza kwamba wameshindwa, maana tunajua kwamba wengi wao walikuwa miongoni mwa wauaji wa Roman Catholic waliotumia akili nyingi, bila shaka wakiwa wamefundishwa na Majesuits. Lakini tutarajie kwamba Mungu ataendelea kufanya muujiza ili kuokoa maisha yangu? Siamini hivyo…kutoka kwangu mikononi mwao, tangu barua ya papa
kwenda kwa Jeff Davis imenoa makali ya mamilioni ya watesaji ili kupasua kifua changu, itakuwa zaidi ya muujiza nikitoka mikononi mwao. Lakini kama vile Bwana ambapo hakusikiliza manung`uniko ya Musa wakati alipomuambia kwamba atakufa kabla ya
kuvuka mto Yordani, kutokana na dhambi za watu wake; ndivyo nilivyo na matumaini na kuomba kwamba asisikie manung`uniko yangu nitakapoanguka kwa ajili ya taifa langu”.(Abraham Lincoln)

Yapata mwaka 1865, Abraham Lincoln aliuawa baada ya kuonekana kuwa anapiga
vita vyama vya siri. Katika historia ya taifa la Marekani wapo marais wachache sana
ambao walipinga uwepo wa vyama vya siri mmoja wao alikuwa Abrahm Lincoln. Hata
hivyo wapinzani wa vyama hivi wamekuwa wakikutana na vikwazo na hata kuuawa. Baada ya kugusia chama cha Jesuits sasa tuendelee na kuwaona Illuminati ambao chimbuko lao ni Jesuit Society. Ieleweke kwamba unapozungumzia Illuminati, unazungumzia ibada na utawala katika
jamii, kama vile mnyama wa namba 666 anavyojishughulisha na ibada na utawala.

Mmoja wa waumini wa Illuminati mwenye digrii 33 ambaye aliwahi kuwa kiongozi
mkuu wa Illuminati nchini Marekani Dr. Albert Pike, anasema, namnukuu:

“Every Masonic Lodge is a temple of religion, and its teachings are instruction in religion”
(Albert Pike, Morals and Dogma, P. 213.)

Tafsiri yake ni Kwamba “kila Loji (Jumba au kituo) ya Freemason ni hekalu la mambo ya dini, na mafundisho yake ni maagizo katika dini.”

Unapoingia kwenye Loji za Freemason utakuta kuna Biblia ya toleo la King James ikiwa
imewekwa juu ya madhabahu (Altare) ya Loji hiyo. Bw. Albert anaendelea kusema kwamba:

“Freemasonry is a search for Light. That search leads us directly back, as you see, to the Kabalah.” [Albert Pike, Morals and Dogma, p. 741]

Tafsiri yake ni Kwamba

“Kazi ya Freemason ni kutafuta nuru. Na kutafuta huko kunatufanya, kama unavyoona, tujielekeze Kabalah.”

Katika dini ya Uislamu kuna kitu kinachoitwa الكعبة yaani al Kabah huko Mecca Saud Arabia. Illuminati nao wana kitu kinachoitwa Kabalah.
8640050eacda91c968e6f67763850b80.jpg

Huko mbeleni katika Nyuzi zangu....panapo majaaliwa ...Nitaelezea zaidi uhusiano wa UISLAMU NA FREEMASON, NA UHUSIANO WA UISLAMU NA UKATOLIKI.

Wakati Jesuits wanayaita majumba yao ya kufundishia kwa jina la ‘Convent’ na wanaojiunga kuitwa ‘Novice’ Illuminati na freemason wanayaita majumba yao ‘Lodge’
na wanaojiunga katika digrii tatu za awali hutumia majengo yanayoitwa ‘Blue Lodge’.
Maana ya Illuminati ni “aliyepewa nuru” au kwa lugha ya kigeni “one who is
illuminated” au “the enlightened ones,” ikimaanisha “mtu aliyepokea nuru au ujuzi
mkubwa.”

Umewahi kusikia watu wanaoitwa “Jesuits”?

Kama umewahi kuwasikia,
tambua kwamba hao ndio waliomfundisha Adam Weishaupt, ambaye ndiye mwanzilishi
wa The Illuminati. Kwa maana nyingine, Illuminati ni mwanafunzi wa Jesuits.
Baada ya Adam Weishaupt kupata elimu yake kutoka kwa Jesuits, mwaka 1785 serikali ya Bavaria ikafunua mpango wa Weishaupt wa kuangamiza Ukristo na kutawala
serikali zote duniani.

Mpango huo ulipingwa vikali na serikali ya Bavaria na kulifukuza
kundi la Illuminati nchini humo. Hata hivyo huu haukuwa mwisho wa Illuminati, kama
wanahistoria wengi walivyoandika. Mipango ya Weishaupt ilichukuliwa na
kushughulikiwa kama mapinduzi yaliyo hatari katika nchi ya Ujerumani (Bavaria)peke
yake. Lakini kuna mataifa mengi ambayo Illuminati walikuwa wanafanya kazi na hivyoBserikali za mataifa hayo hazikujali tahadhari ya serikali ya Bavaria kuhusu Illuminati.

Baada ya miaka michache mpango wa kuangamiza Ukristo na kisha kutawala serikali
zote ulionekana kwa mara ya kwanza wakati wa mapinduzi ya Ufaransa. Nguvu kama
hiyo ya mapinduzi ilionekana tena huko Ujerumani ikiitwa “The Legue of the Just”
kukiwa na matawi yake huko London, Brusses, Paris na Switzerland. Wakati Napoleon
alipoingia madarakani, hakuvumilia vitendo vya Jacobin Clubs vilivyokuwa chini ya Illuminati hivyo akavifutilia mbali. Hata hivyo Illuminati waliendelea kufanya kazi kwa
jina lingine. Walifanya kazi kwa jina la “The Legue of the Just” ambapo “Karl Marx”alikuwa mfuasi. Alipewa kazi ya kurudia kwa kuandika kwa kina kile kilichoandikwa na Adam Weishaupt miaka sabini iliyopita.

Weishaupt alikufa mwaka 1830, lakini mipango yake ya mapinduzi iliendelezwa na
wafuasi wake ambao hadi leo wako kwenye hatua za mwisho za kukamilisha mipango hiyo ya kuhakikisha kwamba dunia yote inarudia imani ya kipagani na kumuabudu shetani.

Mwaka 1842 Karl Marx alianza kuandika propaganda za mapinduzi kwa ajili ya
“League of the Just”, akitumaini kusababisha machafuko. Mwaka 1844, akishirikiana na
Friedrich Engels, wakiwa chini ya usimamizi wa “The League of the Just”, Marx alianza
kuandika “Manifest der Kommunistichen Partei,” kinachojulikana kama “The Communist
Manifesto,” yaani “Ilani ya Ukomunist” iliyotolewa mwanzoni mwa mwaka 1848.
Baadaye, Illuminati wakiwa wanafanya kazi chini ya “The League of the Just,”
walibadilisha jina lao na kuitwa “The League of Communists”.

Wakomunist husherehekea May Mosi ikiwa ni kuzaliwa kwa harakati za mapinduzi
yao kwa sababu ilikuwa ni tarehe ya kuanzishwa kwa Illuminati iliyoanzishwa na Adam Weishaupt. Wasomi wengi wanajua kwamba Ukomunist ni dhana ambayo haikubali uwepo wa Mungu kama Biblia inavyoelezea.HAPA NIWAAMBIE UKWELI WALE WANAODAI MUNGU HAYUPO WANAINGIA KATIKA HILI KUNDI.......

Vivyo hivyo Illuminati ni wapinzani wakubwa wa Biblia maana wanatumiwa na Shetani ambaye ni adui wa Mungu na watu wake. Na sio kwa kubahatisha kwamba Wakomunist wote hutumia umbo la pentagram
(umbo la nyota yenye pembe tano) kama moja ya nembo yao.
00540eb1d166665ed88a108469791938.jpg

Pia sio kwa kubahatisha
kwamba Wakomunist hutumia neno RED katika kuelezea harakati za mapinduzi yao.
Familia ya “The Rothschild international banking” ambayo kwa takribani miaka 200
imekuwa na mafanikio huko Ulaya katika nyanja za uchumi na siasa, ilianzishwa na
Mayer Amschel Rothschild mnamo Feb. 23, 1744 huko Frankfurt Ujerumani. Alikuwa na
watoto watano na jina la familia lilitokana na RED SHIELD.

Ni Adam Weishaupt pamoja na familia ya “the House of Rothschild” ndio walioanzisha harakati hizi kwa sehemu zikiwa za kidini na kwa sehemu zikiwa ni za kisiasa kama zilivyotabiriwa katika unabii wa Yohana kuwa ni mnyama mwekundu sana atakayetoka katika shimo la kuzimu (yaani umizimu) Ufunuo 17:3,8.

Inaaminiwa kwamba Illuminati ni sehemu ya Freemason. Hawa Freemason, ambao ni
Illuminati, walichukua imani yao kutoka kwa “The Knights Templar”.

“The Knights Templar” kilikuwa ni kikosi cha kidini ambapo wafuasi wake walipata kuwa matajiri wakubwa kutokana ka kupewa ardhi na zawadi kutoka kwa wafalme wa nchi za Ulaya.
Kufikia miaka ya 1300 kikosi hiki cha Templars kilijiita kuwa ndio wamiliki wa Benki za Ulaya kutokana na utajiri mkubwa waliokuwa nao. Walikuwa na ndoto za kuwa matajiri wakubwa kiasi cha kuununua ulimwengu. Mfalme wa Ufaransa na Papa walianzisha msako wa kuwakamata The Knights Templar lakini Papa akawa na mashaka kutokana na jinsi mfalme alivyokuwa anaendesha msako ndipo Papa akaendelea kufanya msako bila kushirikiana na mfalme. Wakati wa msako huu kikosi hiki cha Templars kikaungama kosa lao kwa Papa na kujifanya kuwa Templars sasa wamekuwa Wakristo huku wafuasi wake wakificha imani yao ya kumuabudu Lucifa kama mungu wao.

Papa akawa amefanikiwa kukikomesha kikosi hiki lakini hakuwa amekikomesha kabisa
kwani hatimaye kiligeuka na kuwa Freemason huku jamii ikiwa inawaona Freemason
kuwa ni chama kizuri chenye malengo mazuri tu. ni kwa njia hii Adam Weishaupt aliyekuwa mwanachama wa Freemason alifanikiwa kuanzisha imani ya chama cha siri cha Illuminati ndani ya chama cha siri cha Freemason.

MADA MOTO MOTO NDIO ZINAANZA KUJA SASA ...KAENI MKAO WA KULA.....MIHEMKO YA KIDINI HAIFAI...
 
Naye rais wa Marekani Abraham Lincoln akiwa anakifahamu chama cha Jesuits na kazi zao alisema kwamba: (nitatafsiri kwa kiswahili)

“This War (Civil war) would never have been possible without the sinister influence of
the Jesuits. We owe it to popery that we now see our land reddened with the blood of her
noblest sons”…. “The mormon and the Jesuit priests are equally the uncompromising
ENEMIES of our Constitution and our laws; but the more dangerous of the two is the
Jesuit- the romish priest, for he knows better how to conceal his hatred under the mask of friendship and public deeds for the glory of God…. So many plots have already been made against my life, that it is a real miracle that they have all failed, when we consider that the great majority of them were in the hands of the skillful Roman Catholic murderers, evidently trained by Jesuits. But Can we expect that God will make a
perpetual miracle to save my life? I believe not. ..My escape from their hands, since the
letter of the pope to Jeff Davis has sharpened a million of daggers to pierce my breast,
would be more than a miracle. But just as the Lord heard no murmur from the lips of Moses when he told him that he had to die, before crossing the Jordan, for the sins of his people; so i hope and pray that he will hear no murmur from me when i fall for my nations sake. ..” (Abraham Lincoln)

Tafsiri yake...

“Vita hii isingewezekana kuwepo kama isingesababishwa na Jesuits. Tunamdai Papa sasa kwa kuona ardhi yetu ikienea damu za watu wake…” “Watu jamii ya mormon na makasisi wa shirika la Jesuit ni maadui wa katiba na sheria zetu; lakini kati ya hao wawili Jesuits ndio kundi hatari zaidi – kasisi wa rumi(PAPA), maana anajua vizuri jinsi ya kuficha chuki yake katika mavazi ya urafiki na kufanya kazi za jamii kwa ajili ya utukufu wa Mungu….hivyo njama nyingi zimewekwa dhidi ya maisha yangu, ambapo ni muujiza kwamba wameshindwa, maana tunajua kwamba wengi wao walikuwa miongoni mwa wauaji wa Roman Catholic waliotumia akili nyingi, bila shaka wakiwa wamefundishwa na Majesuits. Lakini tutarajie kwamba Mungu ataendelea kufanya muujiza ili kuokoa maisha yangu? Siamini hivyo…kutoka kwangu mikononi mwao, tangu barua ya papa

zile kanuni 13 ulizodai utazileta umeisha zileta ?

maana naona sasa umegeukia MAUAJI na FREEMASONS (wewe umekuwa kama jalala kila unachoona mtandaoni ni NEGATIVE TO CATHOLIC UNABEBA bila kujiuliza ni nani kaweka na analengo lipi kazi yako imekuwa kunywa tu )

nikikuomba historia ya CATHOLIC, historia ya FREEMASONS na hitoria ya CONSTANTINE utanipa ? unajua CATHOLIC imezaliwa lini na huyo CONSTANTINE amezalia lini angalia usije nambia eti BABU AMERITHI TABIA ZA MJUKUU WAKE (akati babu amekuwepo muda mrefu kabla ya mjukuu wake) au MTOTO AMEMZAA BABA (akati baba amekuwepo kabla ya mtoto) wanaoijua historia watachekwa kaka angu

ukidai CONSTANTINE ndo ameanzisha kusali jumapili unaweza nithibitishia KIHISTORIA na KIBIBLIA ?

nikikuomba sababu walau 3 (zimo ndani ya hio biblia yako) za wayahudi kuifuata/kiiishi sabato unaweza NIPATIA ? na nikikuuliza wewe kama mkristo sababu za kuing'ang'ania sabato unaweza NIPATIA ?

NIKIKUULIZA NI KWANINI Wayahudi walitunga ombi la kumi na mbili ambalo lilikuwa kwaajili ya kuwalaani wakristo wanaosali jumapili badala ya sabato. Ombi hilo lilikuwa ni kuwalaani wakristo wanaoifuata jumapili ili majina yao yafutwe kwenye kitabu cha uzima. UNAWEZA NIPATIA ?
 
Hizi story za kufikirika hata wamarekani wenyewe wala hawana tume nazo, ni wasabato ndio wanashupalia na kuendeleza kuisambaza. Conspiracy theory
 
Mbona unapaniki, muendelezo wa najesuit ushakuja na nishapost halafu sipangiwi ,coz naandaa mwenyewe,

Kuhusu mauaji ya kuua watakatifu nishaelezea hilo kwa details ,kwa faida ya wengi nitaurejesha huo uzi ukiwa umeshiba

KUHUSU CONSTANTINE

MBONA HATA MAPADRI NA MAPAPA WAMEKIRI HILO?

WEWE NI MAAMUMA?

KATIKA KITABU CHA WAKATORIKI KIITWACHO

BUSTANI YA KATEKISTA

Ukurasa - 74
Swali: KWA NINI TUNASALI SIKU YA JUMAPILI SIO SABATO?
Jibu: Kihistoria tunaelewa kwamba wakristo wa kwanza waliendelea kuadhimisha siku ya Bwana Jumamosi, walivyozoea wayahudi; hasa wakristo waliotoka dini ya kiyahudi......
Wale ambao walikuwa wanatoka upagani, hawakujisikia kuwa wanabanwa na sheria zile.........
Sababu nyingine ya kusali Jumapili ni hii; wafuasi wa Yesu walitaka kujitofautisha na waamini wa dini ya kiyahudi walioadhimisha ibada siku ya Jumamosi......
Polepole wakristo wakaanza kuzoea kukutana, kusali, kusoma masomo yao na kumega mkate siku ya kwanza.....
Ndivyo, tarehe 03/03/321, mfalme Konstantino alivyotangaza rasmi kwamba Jumapili iwe SIKU YA BWANA, wakristo wapumzike na kusali. Hayo ndiyo mapokeo ya Makanisa mengi.....

BUSTANI YA KATEKISTA CHA PADRE RAPHAEL ROGEAU W.F.
PUBLISHING-benedictine publications ndanda-peramiho ukurasa wa 74

SASA WEWE NA PADRE RAPHAEL ROGEAU NANI NI MUONGO?

UNAANZA KUKANA MAPADRE WAKO WALIOKUINGIZA HUKO RC?

NINA NUKUU HADI ZA PADRE TITUS AMIGU

Vitabu hivi vipo maktaba au bookshop za RC vinauzwa
 
Hebu leta wewe ya ukweli, maana mimi ,nimenukuu hadi maneno ya ABRAHM LINCOLN na maneno ya MAJESUIT kutoka ktk vitabu vyao, na vinapatikana kwenye bookshop za RC, nimeishi misheni kwa miaka minne , nineshinda library za RC sana, kwahiyo sibahatishi ninachokisema
 
kweli njia ya mwongo ni FUPI na bible inatufundisha kuwa baba wa uwongo ni SHETANI (bilan shaka wewe utakuwa ni first born wa uzao wake)

eti umeishi misheni kwa
miaka minne , umeshinda library za RC
sana.
akati Huo UZUSHI/UPUUZI unakopi na kupesti na kutafsiri kwa kiswahili toka kwa vitabu na link za NABII MKE BI ELLEN G WHITE pamoja na washirika wake ambao kimsingi hao watu ni wapinga KRISTO NA KAZI ZAKE (tena kama unabisha BISHA na NASUBIRI UKATAE NIKUAIBISHE) kataa kuwa hukopi toka kwa hao jamaa NIKUAIBISHE

yangu ulisema nakopi na kupesti toka mtandaoni NIKAKUOMBA ULETE USHAHIDI AU HATA link Cha ajabu MPAKA LEO KIMYA

nimekuuliza sababu 3 tu za waayahudi kuiishi sabato (zimo kwenye iyo biblia yako) kimya
na sababu za wewe kifuata sabato ya kiyahudi wewe unaniletea sababu za mimi kusali jumpili (unatumia nini kufikiri ndugu yangu)

hivi ndugu yangu iyo kalenda iliyotundika apo ndani kwako au iliyo kwenye simu yako na ambayo huitumia kuangalia IZO JUMAMOSI ZAKO ZA SABATO na ratiba zako unahabari kuwa ilivumbulia na kutenezwa na PAPA GREGORY ? UNAHABARI KUWA INAITWA GREGORIAN CALENDER ? au hayo huwa huyaoni ?

we endelea tu kushambulia VICHWA vya kanisa katoliki na vitu usivo vijua
 
jibu kwanza maswali unayoyakimbia hapo juu hapo juu kuhusu sabato ya kiyahudi na sabato yako nilokuuliza

then ukisha jibu ndo NIKUUMBUE KUHSU CONTANTINE NA ICHO KIJARIDA CHAKO HAPO JUU unachodai kipo kwenye library za wakatoliki

si tunajibu yako tena kwa kirefu na mapana
nimeishakuuliza maswali lukuki hujibu leta majibu kwanza
na kama umeshindwa omba usaidiwe
 
Back
Top Bottom