naona hata kufa kwa askari while on duty naona ishageuzwa kuwa political attack na watu humu ! ama kweli wameshindwa madongo !
Mkuu hatuhitaji manneno ya chooni kujenga hoja hapa, hata kama kwenu ni maneno ya kawaida kama unavyodai, sisi kwetu ni ya choooni sio tu kwamba huwezi kuyatumia against viongozi, bali hata wananchi wenzako wa kawaida, hoja sio lazima ijengwe kwa matusi sio utamaduni wetu hapa, kwa hiyo pasuka mkuu lakini usituletee lugha mbovu hapa, weka hoja inatosha utaeleweka hapa, sio matusi.
I have no problem kujadili ujinga na uzembe wako, lakini pia ninaweza kujadili mapungufu ya viongozi wetu wa CCM na upinzani, bila matusi au lugha za hovyo na za chini katika jamii, nia ni kukosoa sio kutukana.
JF tunasikifika kwa hoja, sio matusi na lugha za choooni na kwenye vilabu vya pombe.
Our peaceful country now is in a war of choice. Kisa, just like was in Zanzibar, uchaguzi umefanyika na upande mmoja, ambao TZ inayouamini, haikubaliani na matokeo yake, where is JK taking us to??? Where will our next move be if this is the trend, Zimbabwe, Nigeria, Congo or just Comoro? If only Comoro why?
10 die in Comoran army bid for island
--------------------------------------------------------------------------------
2008/03/18
TWO operations by the Comoran army to reclaim Anjouan island held by rebel troops loyal to local ruler Mohamed Bacar have resulted in 10 of his soldiers being killed, the military said yesterday.
Lieutenant-Colonel Mohamed Amiri Salimou said the National Development Armys successful operations were carried out on March 9-10 and March 14-16, ahead of a planned African Union-led military invasion.
Salimou said two of his soldiers were wounded but are not in danger. Bacars men, he said, were repulsed when they grouped near a boat that ferried the forces across to Anjouan.
Bacar rebelled against President Ahmed Abdallah Sambi and the AU after they had ordered him not to hold local presidential elections last year, but he did so in June and was proclaimed the victor.
Sambi vowed to use force to regain control over Anjouan and stationed troops in the nearby island of Moheli, while Tanzania, Senegal, Sudan and Libya offered troops for the AU invasion. The Union of Comores, comprising Grand Comore, Anjouan and Moheli, has been shaken with 19 coups and attempts since independence from France in 1975.
Tanzanian Foreign Minister Bernard Membe said: There were many opportunities for a negotiated settlement, but Bacar squandered all those chances.
The foreign minister said Bacar only had some 300 troops at his disposal, whereas the joint Comoran-AU operation could count on 1800 men. Sapa-AFP
Mkuu nataka uelewe kuwa lugha ya chooni tuliyoikataa kutoka kwa Darsalama, hatuwezi kuikubali kutoka kwako just because unatukana viongozi wa CCM, kama haikuwa nzuri kwa Dar isiwe okay kwako, watu wengi hapa tulimshambulia Dar alipotumia lugha kama yako, sasa lazima uelewe kuwa hata wewe hatuihitaji hiyo lugha,
Hapa JF heshima hupatikana kwa hoja, sio lugha za choooni na vilabu vya pombe.
Ninaamini umenielewa mkuu!
Ninaamini umenielewa mkuu, vitu tumekuwa tunavimwaga hapa kabla yako mkuu ila huwa hatutumii lugha za choooni ili kulazimisha hoja, hapa JF haogopwi mtu, wewe na Darslaam wote ni sawa tu hapa, yaaani members tu kama sisi wengine, sasa kama ni vibaya kwa Dar kurusha lugha za chooni then msimamo ni ule ule na kwako,
Nilikataa lugha za Dar, kama ninavyokataa za kwako, that is all mkuu!
Mkuu ujumbe wangu ni ule ule, usitumie tena lugha za chooni, huna huo ujanja unaofikiri uano mkuu, tumekatalia Darslama, na wewe huogopwi hapa mkuu, JF wote tuko sawa, sasa usitumie lugha za chooni.
Kada Mpinzani, kuwa mwanaCCM kusikufanye uwe kipofu. Ho wanajeshi ni Kaka zetu na Dada zetu, ikiwa wamekwenda kama mamluki kwa jina la Tanzania sio mbaya, watakuwa wanauawa kwa tamaa yao ya hela.
Lakini kama mtu anapeleka jeshi letu kujitafutia sifa na kaka zetu wanauwawa huo ukada wako utakuwa hauna maana hata kidogo!. Jeshi sio siasa, lakini likienad nje ya Tanzania kuna siasa ndani yake, unatakiwa kuonesha uzalendao na sio ukada tu!