Tatizo Sidhani Kama serikali iko serious kwa hili.
Labda watakaofukuzwa na wanyarwanda kwa vile rais wao ana bifu na JK. Kama serikali inajali raia wake ingeshachukua hatua muda mrefu kwa sababu mfano hawa wahamiaji wameshafanya maovu sana kwa wenyeji kwa muda mrefu bila serikali kuchukua hatua za dhati! Ngoja tuone