ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,649
- 2,805
Duu natamani kusikia sauti ya huyo mbabe. Kumbe ubabe mwisho chalinze salamu kwa nchemba
[emoji12] [emoji12] nimeipenda hiyoTanzania nao wajiunge umoja huo nadhani ni poa sana
Senegalese troops entered neigbouring Gambia on Thursday, an army spokesman said, as part of regional effort to support its new President Adama Barrow in a showdown with longtime ruler Yahya Jammeh, who has refused to step down.
"We have entered Gambia," Colonel Abdou Ndiaye wrote in a text message to Reuters.
Adama Barrow was inaugurated Thursday in a hastily arranged ceremony at Gambia's embassy in Senegal. The small embassy room held about 40 people, including Senegal's prime minister and the head of Gambia's electoral commission.View attachment 461783
Senegalese troops enter Gambia in support of new president - France 24
Mkuu wa majeshi hataki imwagike damu wewe unasema kinyume tena, raia atakaye dhurika atakuwa amewashambulia mwenyewe kama ujuavyo hata shetani anawafuasi. Analo jesho dogo hana dhana za kivita za kumwezesha kuwashinda ECOWAS. hafuati tu mkumbo kama baadhi yetu wa tz. Kama nilivyokwambia hata shetani ana wafuasi tukio safi sana fundisho kwa marais wanaojifanya miungu watuHivi mfano raia wakadhurika na hayo majeshi ya ecowas, na mkuu wa majeshi ya gambia kasema hatopigana, itakuwa ni sahihi? Maana hiyo ni kama vita, risasi hailali njaa vitani... Nauliza kitu nusichokijua ili nieleweshwe, ni sawa? Au maamuzi aliyochukua ndio sahihi? Msaada wakuu!!
Kwahiyo brother wewe unaakili kuzidi ECOWAS na huyo mkuu wa majeshi?Hivi mfano raia wakadhurika na hayo majeshi ya ecowas, na mkuu wa majeshi ya gambia kasema hatopigana, itakuwa ni sahihi? Maana hiyo ni kama vita, risasi hailali njaa vitani... Nauliza kitu nusichokijua ili nieleweshwe, ni sawa? Au maamuzi aliyochukua ndio sahihi? Msaada wakuu!!
Hivi mfano raia wakadhurika na hayo majeshi ya ecowas, na mkuu wa majeshi ya gambia kasema hatopigana, itakuwa ni sahihi? Maana hiyo ni kama vita, risasi hailali njaa vitani... Nauliza kitu nusichokijua ili nieleweshwe, ni sawa? Au maamuzi aliyochukua ndio sahihi? Msaada wakuu!!
Mkuu, kiburi ni kama jeshi likitii mambo ambayo ni kulinda tawala zisizokubali kung'atuka. Lakini wakisimamia ukweli na kulinda raia tu, basi kiburi cha viongoz ving'ang'aniz na wakandamizaji baran Afrika na Duniani kinaisha. I hope hawa Gambia wameonyesha mfano mzuri sana wa Jeshi kusimamia maslahi ya Taifa husika na siyo mtu mpenda madaraka.Duu natamani kusikia sauti ya huyo mbabe. Kumbe ubabe mwisho chalinze salamu kwa nchemba
Ya Bongo yamekosa mtu wa kuyapalilia. Seif alijaribu hakupata support kutoka member states za EA (definetely asingelipata being all except Uhuru ni madikiteita waliokubuhu) . Hata international community hawajaipa uzito unaostahili.Wakimaliza huko waje na huku kwetu kumtoa nkurunzinza wa bongo.
We kiaz watadhurika vp na hamna mapigano???Hivi mfano raia wakadhurika na hayo majeshi ya ecowas, na mkuu wa majeshi ya gambia kasema hatopigana, itakuwa ni sahihi? Maana hiyo ni kama vita, risasi hailali njaa vitani... Nauliza kitu nusichokijua ili nieleweshwe, ni sawa? Au maamuzi aliyochukua ndio sahihi? Msaada wakuu!!
wampeleke na shein akajifunzeNgoja tusubiri kesho tuone.. Naomba ECOWAS na huku kwetu wawe wanafika hata kuchungulia tu inatosha
Zanzibar tatizo tume na.jesh halowez ingilia kw kosa hilo my b shein angetangazwa kashindwa then agome kutoka madarakaniIngekuwa pale Zanzibar Jecha angejificha baharin
Link Troops enter the Gambia after Adama Barrow is inaugurated in SenegalKesho asubuhi bbc full information
Waje "kuisalimia" Tume ya uchaguzi.Ila wabongo bhana kuna.hapo juu unasema anatamani Ecowas waje hata huku??
Tatizo la tz ni tume ya uchaguzi
Huyo jamaa.bado.hajakamatwa tuu??
Alicheza.karata zake vibaya sana naisi atakuwa amekimbia bila.shaka..
Ila wabongo bhana kuna.hapo juu unasema anatamani Ecowas waje hata huku??
Waje kufanya nn?? Hata hivyo hakuna mgombea ambayo tume imetangaza kashindwa alafu yeye kakatalia madarakani
Mjue tofaut hiyoo,mkuruzinza na mseven sanduka la kura walishinda
Tatizo la tz ni tume ya uchaguzi
Sasa mnao laam jesh,nakusema mkuu wa majesh wa gambia ni mfano nasio wa huku kwan kuna nchi EAST imekumbwa na balsa kama gambia??
Huyo rais wa gambia alibugi
Kama angejua toka awali angecheza kiccm zaid kuweka sawa tume ya uchaguzi upande nk
Kujiamin kupita kiasi ndio kumemponza
Duuuh haya sawa mkuuWaje "kuisalimia" Tume ya uchaguzi.