Majeshi ya Senegal yaingia Gambia

Majeshi ya Senegal yaingia Gambia

Waafrica ni wajinga maana hapo wangesikia USA kaivamia Gambia ilo jesh la ECOWAS usingeliona na kama hilo jeshi la ecawas lipo kwa kusaidiana wakimaliza kumtoa jameh wasirudi makwao waende wakamsaidie mwenzao Nigeria anaangaika na boko haram
 
Kichekesho zaidi ni aina viongozi tunaotaka wawe mbadala, yaani utoe serikali ya Magufuli uweke serikali ya Lowasa,Mbowe, Kingunge na Sumaye eti ndio wawe mbadala.
Yaani Lumumba group wana hasira na ECOWAS usipime!
 
Haki inapo dhulumiwa dawa yake ni mwenye nguvu kumshinda muonezi wizi wa kura udanganyifu katika jumla ya matokeo jecha type ingefaa kupigwa ccm ni balaa huku eac unafiki mwingi.
Hivi kwani ccm kutoka madarakani tu unafikiri ndiyo utakuwa ushindi wa wananchi?

Kuna muda naona kama wanasiasa wametuchezea akili,ccm ikishatoka madarakani halafu ndiyo nini sasa?
 
Waafrica ni wajinga maana hapo wangesikia USA kaivamia Gambia ilo jesh la ECOWAS usingeliona na kama hilo jeshi la ecawas lipo kwa kusaidiana wakimaliza kumtoa jameh wasirudi makwao waende wakamsaidie mwenzao Nigeria anaangaika na boko haram
Demokrasia ni muhimu kuliko uhai wa binadamu,hivyo huko Nigeria kwa sababu hakuna tatizo la kidemokrasia basi wacha wafe tu.
 
Back
Top Bottom