Majeshi ni kwa ajili ya form 4 failure tu


Nami nikuulize swali je, kila amri ni halali mfano ukipewa amri ya kuua mtu bila kosa utaua kwa sababu amri imetoka juu?
 
Nami nikuulize swali je, kila amri ni halali mfano ukipewa amri ya kuua mtu bila kosa utaua kwa sababu amri imetoka juu?
Kama ni mwanajeshi na umepewa na mkuu wako yes utaua tu japokuwa sijaona ukiritimba na urasimu una relevancy gani hapa ! ila wewe utakuwa si responsible na ndio maana ikaitwa AMRI huna HIYARI labda na wewe nikuombe ukapitie kamusi japokuwa mie nimetoa maelezo!
Pia ningeomba utumie nafasi hizi kutetea hoja zako kuliko kutetea ubishi wako ,bado tusubiri kujua wapi umekwazwa kama ulikuwa umesahau hoja yako ya msingi
 

Mkuu huo ulikuwa utafiti wangu na niliishia hapo sasa kwa vile Research is perceived gap in knowledge between what is already known and what is not known unaweza na wewe kufanya utafiti wako kugundua kwanini kuna urasimu na ukiritimba mpaka kusiwafae wasomi na huo ukritimba na urasimu unatokana nini?
Btw kuna maaskari wengi wapo magereza kwa kosa la kuua kutokana na amri walizopewa na wakubwa wao yakifika shingoni anakukana msala unabaki kwako.
Lakini kwa msomi ukipewa amri lazima kwanza ujiulize je,nikitekeleza hii amri itakuwa na madhara gani? unajua nini kinatokea ukikataa amri isiyo halali iliyohalalishwa na mkubwa
Ukienda Polisi au Magereza unakuta kuna vijana hawajasoma ili mradi tu wanajuana na mkubwa fulani wanapewa kitengo lakini askari mwenye ujuzi na kitengo anapiga ulinzi kama kawaida kwa leo niishie hapa.
 
Kwa jibu lako hili nadhani ulikuwa huna sababu ya kuuleta huu uzi .have a good day mkuu!
 

Sio kweli kuwa majeshi yanaajiri failures. Nafahamu polisi ni division III tatizo nidhamu kwa viongozi wa jeshi la polisi imeshuka sana na siku hizi hapelekwi mafunzo ya mazoezi field craft! Sijui hakuna budget ya mafunzo hayo! Askari anaotaje kitambi? Pia rushwa inashusha nidhamu sana.
 

Mkuu sina elimu kubwa sana ila elimu yangu ya kidato cha nne inatosha kabisa kuelewa maana ya division of labour na mwalimu wangu wa history form 2 alinifundisha kuwa division of labour inaangalia umri(age) jinsi(sex) na ujuzi au ubobezi(specialization) je unadhani majeshi yetu hasa Polisi na magereza yanawatumia wasomi kulingana na ujuzi waliosomea.
 

Una akili sana kumbe.......mwambie hata teknolojia ya internet ilianzia jeshini pia
 
Khaa!!! Kazi ya jeshi haifundishwi kwa mtu yeyote hadi aingie jeshini. Sasa form 4 sijui inahusika vipi. Mbona kuna mjeda namfahamu anaweza kurusha chopa, ndege , kutengeneza milipuko kwa kutumia bidhaa za matumizi ya nyumbani, parachute wakati aliishia darasa la 6 tu. Kunatofauti kubwa kati ya kusoma na kuelimika.
 

-golden boys

-silver boys

-iron boys.
 

sio kwa jeshi la Tanzania.
 

Na anayeweza kuvumilia ni "msomi failure" tu.
 

Yeah ni jibu sahihi kwa msomi failure, ambaye anajitahidi kujustify kupanda dala dala bure ili hali hajiulizi kwa nini mwanafunzi wa shule ya vidudu analipa nauli!!
 
futa kauli yako.unatumia cm na kucheka cheka coz wanaume wako mipakani wanakulinda.jwtz na majesh mengine lazima yaheshimiwe.hebu assume nw ungekuwa kongo au kenya tu hapo.tuache dharau kuna vi2 ving sana vya kuongelea mbali na jeshi.

Lol! Wenye akili hawaendi huko.
 

Tutajie mmoja tu wa hapa Tanzania na nini alichogundua. Kwa wenzetu kulitumikia jeshi ni fahari na uzalendo, ila hapa kwetu ni njaa na dhiki.
 

Well said. Kuukataa ukweli ni ishara ya "Usomi failure"
 
ukishajua ili iweje? mkuu mbona tunatafuta vitu vilivyo juu ya uwezo wetu? angaikia kula yako na watoto mengine waachie wenyewe.

Msomi hujibu hoja, usikimbizane na ukweli. Tuambie ni msomi yupi aliyepo jeshini na kafanya nini? Awe wa taaluma yoyote ile
 
wanayoyafanya ni ulinzi na usalama wa nchi na mipaka yake, sasa kuwa wanatimizaje azma hiyo hayo mengine! ukienda huko jua unakuwa mlinzi wa jinsi yeyote ile, ukikaa ofisini utajua unalindaje, ukiwa field pia utajua unalindaje mkuu, nawasililisha.

Twiga wetu walipandaje kwenye Ndege? Meno ya tembo kwenye Ndege ya rais wa China yalifikaje? Singa singa wa Escrow yupo wapi? Nijibu kwanza hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…