Nilitegemea utakanusha kwa kusema kwamba hao majeruhi hawajamwambia hivyo MulongoUongo mwengine hauna hata maana,aliepigwa risasi yuko wapi sasa?
Mingoi pole sana. Hizo taarifa za awali zilizotolewa hata na madaktari kuwa wajeruhi wengi na hata marehemu mmoja wamekutwa na matundu ya risasi unaipotezea ama? Jaribu kuweka itikadi pembeni, tuungane sote kwenye hili kwani hapa Tanzania ITIKADI haina mpaka.Uongo mwengine hauna hata maana,aliepigwa risasi yuko wapi sasa?
Uongo mwengine hauna hata maana,aliepigwa risasi yuko wapi sasa?
Mkuu siku hizi umebadilika sana, sijui nini kimekupata!!Mimi sio mpumbavu kama nyie,Chadema itawatoa sana sadaka kwenye mikutano yao kwa kwenda kushangaa shangaa
majeruhi wamemsimulia mkuu wa mkoa wa Arusha bw Magesa Mulongo alipokwenda kuwasabahi hospitalini.wamemwambia kwamba polisi waliwarushia risasi na mabomu mara baada ya mlipuko mkubwa kutokea.
View attachment 97841
Uongo mwengine hauna hata maana,aliepigwa risasi yuko wapi sasa?
Mimi sio mpumbavu kama nyie,Chadema itawatoa sana sadaka kwenye mikutano yao kwa kwenda kushangaa shangaa
majeruhi wamemsimulia mkuu wa mkoa wa Arusha bw Magesa Mulongo alipokwenda kuwasabahi hospitalini.wamemwambia kwamba polisi waliwarushia risasi na mabomu mara baada ya mlipuko mkubwa kutokea.
View attachment 97841
majeruhi wamemsimulia mkuu wa mkoa wa Arusha bw Magesa Mulongo alipokwenda kuwasabahi hospitalini.wamemwambia kwamba polisi waliwarushia risasi na mabomu mara baada ya mlipuko mkubwa kutokea.
View attachment 97841
majeruhi wamemsimulia mkuu wa mkoa wa Arusha bw Magesa Mulongo alipokwenda kuwasabahi hospitalini.wamemwambia kwamba polisi waliwarushia risasi na mabomu mara baada ya mlipuko mkubwa kutokea.
View attachment 97841
Una hamu ya mpakato wewe