Majeruhi wa mabomu wanena-Askari walirusha mabomu na risasi

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
majeruhi wamemsimulia mkuu wa mkoa wa Arusha bw Magesa Mulongo alipokwenda kuwasabahi hospitalini.wamemwambia kwamba polisi waliwarushia risasi na mabomu mara baada ya mlipuko mkubwa kutokea.

mulongo.jpg
 
mkuu ungemtaja majeruhi hata mmoja ili hata cc wa mbali tuweze kukompeya polisi wakitoa taarifa. asante kwa picha
 
Uongo mwengine hauna hata maana,aliepigwa risasi yuko wapi sasa?

ndugu yangu tumia hekima bsi hata kidogo sidhan kama kunahaja ya wwe kuanza kukanusha wakati hujui hata huyo alo toa hayo maneno ni nanai na ana hali gani kumbuka hata nafsi yako itaja onja mauti umejuajje kama ni uongo ndugu yangu usikose hekima sababu ya ushabiki wa siasa.
 
majeruhi wamemsimulia mkuu wa mkoa wa Arusha bw Magesa Mulongo alipokwenda kuwasabahi hospitalini.wamemwambia kwamba polisi waliwarushia risasi na mabomu mara baada ya mlipuko mkubwa kutokea.

View attachment 97841

Kumsimulia Mulugo ni sawa na kupeleka kesi ya mahindi kwa Nyani kwani tulihabarishwa kuwa miongoni mwa washiriki wanane wa kupanga uhalifu ili kuidhibiti CDM Mulugo nae alikuwepo na isitoshe polisi kupiga mabomu ya machozi na risasi za moto ilikuwa ni kumuokoa mrusha bomu au kwa maana nyingine walitaka kuwatarget viongozi wakuu wa CDM ili wawauwe lakini Mungu alikuwa upande wao kwani lolote lingeweza kutokea. NALAANI KWA NGUVU ZOTE TUKIO HILI R.I.P WALIOPOTEZA MAISHA.
 
Mi nahitaji jamani kujua,hilo bomu wamerusha askari au baada ya kulipuka bomu na kusikika mlipuko ndipo askari wakaanza kufyetua risasi??? Sijamuelewa vizuri mtoa mada.
 
Mimi sio mpumbavu kama nyie,Chadema itawatoa sana sadaka kwenye mikutano yao kwa kwenda kushangaa shangaa

naam hata wale waliokufa kanisani walitolewa sadaka na chadema,hata padri mushi alitolewa sadaka na chadema!!
 
Hawa jamaa wanachofanya ni 'provocation'. ona sasa matusi yalivyitawala uzi huu. Ndicho wanachotakakufanyia cdm pia ili wawakamate kwa uaini. Naamini hawataweza hata hivyo.
 
Bomu limelipuka, watu wamechanganyikiwa, wanakimbia ovyo, Police nao wanalipua mabomu ya machozi kwa sababu gani? Huu ni UTUMBO, mpango maalum ulioasisiwa na Mwigulu kwa kushirikiana na Mkuu wa mkoa wa Arusha
 
Uongo mwengine hauna hata maana,aliepigwa risasi yuko wapi sasa?

Mkuu hivi ni akili yako au ya mbayu wayu?
Unauliza majeruhi wa risasi tena?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mimi sio mpumbavu kama nyie,Chadema itawatoa sana sadaka kwenye mikutano yao kwa kwenda kushangaa shangaa

Chukua jukumu la polisi jamii, ukaisaidiye polisi ni kwa jinsi gani walivyopanga kuwatoa watu sadaka kwa kupitia njia ya mikutano.
Mfikiriye yule mtoto aliyeachwa na mzazi wake kipenzi au yule aliyepoteza ndg kwa kulipuliwa kwa bomu. Machoni pako, ukiwa na hizo taarifa za ki-intelenjia, Je inakupendeza kukaa nazo kimya! Tafakari.
 
majeruhi wamemsimulia mkuu wa mkoa wa Arusha bw Magesa Mulongo alipokwenda kuwasabahi hospitalini.wamemwambia kwamba polisi waliwarushia risasi na mabomu mara baada ya mlipuko mkubwa kutokea.

View attachment 97841

Kumsimulia Mulongo ni sawa na kumsimulia paka kesi ya panya kwa sababu yeye alipelekwa huko ili kudhibiti nguvu ya CDM. Utamsimuliaje mtu majukumu yale yale ambayo amepewa ayatekeleze.
 
Mimi nadhani ni wakati mwafaka kwa CHADEMA kutoa kauli ya wazi kuwa urushaji wa bomu, mauaji na kazi ya kujeruhi inahisiwa ilifanywa na jeshi la polisi, na kutamka wazi kuwa uchunguzi wa tukio hili usifanywe na jeshi la polisi kwa sababu ndiyo watuhumiwa wa kwanza. Tuombe msaada wa nje bila kushirikisha jeshi la polisi la Tanzania, japo najua hawatakubali kwa kuogopa kuwa serikli na CCM wataumbuka.

Matukio haya yote yatafanyiwa uchunguzi baada ya CCM kutolewa kutoka madarakani.

majeruhi wamemsimulia mkuu wa mkoa wa Arusha bw Magesa Mulongo alipokwenda kuwasabahi hospitalini.wamemwambia kwamba polisi waliwarushia risasi na mabomu mara baada ya mlipuko mkubwa kutokea.

View attachment 97841
 
majeruhi wamemsimulia mkuu wa mkoa wa Arusha bw Magesa Mulongo alipokwenda kuwasabahi hospitalini.wamemwambia kwamba polisi waliwarushia risasi na mabomu mara baada ya mlipuko mkubwa kutokea.

View attachment 97841

Mkuu
Kama uliyoyaandika ni kweli basi unahitajika uchunguzi huru na makini juu ya tukio zima. Haiwezekani badala ya police kutoa msaada na ku-secure parimeter kazi ya police ikawa tena ni kufyatua risasi za moto na mabomu kwa victims, huu utakuwa ni zaidi ya unyama.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom