Majeruhi wa mabomu wanena-Askari walirusha mabomu na risasi

Mingoi pole sana. Hizo taarifa za awali zilizotolewa hata na madaktari kuwa wajeruhi wengi na hata marehemu mmoja wamekutwa na matundu ya risasi unaipotezea ama? Jaribu kuweka itikadi pembeni, tuungane sote kwenye hili kwani hapa Tanzania ITIKADI haina mpaka.

kuna watu akili zao ni za kushikiwa
bomu limelipuka,cha kushangaza majeruhi
wamekutwa na risasi mwilini,ila mimbulula mingine
inaongea pumba khaaaaa!!!
 
Mingoi pole sana. Hizo taarifa za awali zilizotolewa hata na madaktari kuwa wajeruhi wengi na hata marehemu mmoja wamekutwa na matundu ya risasi unaipotezea ama? Jaribu kuweka itikadi pembeni, tuungane sote kwenye hili kwani hapa Tanzania ITIKADI haina mpaka.

achana nae huyo yy ccm kwanza taifa baadae
 
majeruhi wamemsimulia mkuu wa mkoa wa Arusha bw Magesa Mulongo alipokwenda kuwasabahi hospitalini.wamemwambia kwamba polisi waliwarushia risasi na mabomu mara baada ya mlipuko mkubwa kutokea.

View attachment 97841
Kwa hiyo kumbe mabomu yanarushwaga na POLICCM! Beware Tanzanians haya yameunganika TISS na polisi- Ighondu kwa Dr Ulimboka na sasa policcm waua Arusha tena kwenye mkutano wenye amani! Karibu tuchoke subirini!!!!!!!!
 
Mi nahitaji jamani kujua,hilo bomu wamerusha askari au baada ya kulipuka bomu na kusikika mlipuko ndipo askari wakaanza kufyetua risasi??? Sijamuelewa vizuri mtoa mada.
Yote mawili. Aliyerusha bomu anadhaniwa kuwa ni askari na waliorusha mabomu ya machozi na kupiga watu risasi pia ni askari polisi.
 
Mimi binafsi namheshimu na kumwamini sana mleta mada, maana hajawahi kusema uwongo, refer kipindi cha sakata la madaktari jinsi huyu jamaa alivyokuwa Sosi ya kuaminika ya yanayojiri.

Ni afya sana kwa wapenda mageuzi iwapo wagonjwa hao wameamua kuweka hadharani ukweli.
Nimjuavyo Magesa ataingiza siasa kwenye comment hizo na kusema kuwa wametumwa na Lema waseme hivyo.

Cha msingi kila mwenye masikio ya kusikia na asikie, ili wenye akili zao watunze mambo haya kwenye Bongo zao, maana kuna wakati yatahitajika kama ushahidi. Mimi wala wewe hatujui lini, lakini siku ipo.
 
Uongo mwengine hauna hata maana,aliepigwa risasi yuko wapi sasa?
Ndugu walioumizwa na mabomu na risasi ndio waliosema polisi walirusha mabomu na risasi, sasa uongo uko wapi???
Hao watu si ni majeruhi wa hizo risasi na mabomu, au mkuu huamini kuwa polisi walirusha
mabomu na risasi???
 
Hizi ni propaganda za kuleta chuki dhidi ya polisi, hao walio pigwa risasi wako wapi? Hizo ni chembe chembe za bomu na wala sio risasi. Tunamsubiri slaa aje na nyimbo yake ya usalama wa taifa
 
Hizi ni propaganda za kuleta chuki dhidi ya polisi, hao walio pigwa risasi wako wapi? Hizo ni chembe chembe za bomu na wala sio risasi. Tunamsubiri slaa aje na nyimbo yake ya usalama wa taifa

Peleka upuuzi wako huko. Shwaaain
 
Hizi ni propaganda za kuleta chuki dhidi ya polisi, hao walio pigwa risasi wako wapi? Hizo ni chembe chembe za bomu na wala sio risasi. Tunamsubiri slaa aje na nyimbo yake ya usalama wa taifa
Toka lini chembe chembe za mabomu zikaacha maganda ya risasi chini?
 
Mi nahitaji jamani kujua,hilo bomu wamerusha askari au baada ya kulipuka bomu na kusikika mlipuko ndipo askari wakaanza kufyetua risasi??? Sijamuelewa vizuri mtoa mada.

According to mhe. Mbowe polisi wa FFU in uniform ndiye aliyerusha

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nape, Mwigulu ni waumini wa fikra za MASABURISM, ni zao tukufu la vihiyo chuo cha propaganda kigamboni hatuwashangai AR!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom