Majengo ya Wema mbioni Kubomolewa

Majengo ya Wema mbioni Kubomolewa

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
60,419
Reaction score
88,756
Habari Wana JF,


Majengo ya Wema yaliyopo barabara ya bagamoyo yapo mbioni kubomolewa kupisha ujenzi wa bomba la maji al-mmarufu mradi wa m-canada,bomba ilo linatoka ruvu chini linapelaka maji mji mpywa wa bush.

WEMA BUILDING:TEGETA KWA NDEVU
WEMA BUILDING TEGETA.JPG

WEMA BUILDING:BOKO BASIHAYA
WEMA BUILDING BASIHAYA.JPG
Nawasilisha
 
Habari Wana JF, Majengo ya Wema yaliyopo barabara ya bagamoyo yapo mbioni kubomolewa kupisha ujenzi wa bomba la maji al-mmarufu mradi wa m-canada,bomba ilo linatoka ruvu chini linapelaka maji mji mpywa wa bush. WEMA BUILDING:TEGETA KWA NDEVU View attachment 107617 WEMA BUILDING:BOKO BASIHAYA View attachment 107618 Nawasilisha
mkuu ungeweka picha ya mijengo hiyo mambo yangekuwa poa
 
Sawa mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwa hiyo kuna wema Actress na Wema Sembe??? (au ni the same shit) Naomba ufafanuzi jamani hapa.. charminglady rudi tafadhali

Mihadarati..a.k.a dawa za kulevya. Nadhani wema ni jina tu la hizo nyumba, angekuwa yule wa bongo muvi ingekuwa ndio stori kila siku kwenye magazeti ya shigongo almaarufu udaku
 
Last edited by a moderator:
maswali ya msingi hayajibiwi,au ni hoja nyepesi ambayo majibu yake ni mepesi,watu wanauliza ni majengo ya wema sepetu?
 
Mkuu King Kong III mbona umekimbia hautaki kujibu maswali ya wadau? Hayo majengo ni ya wema yupi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom