Majengo ya Wema mbioni Kubomolewa

Majengo ya Wema mbioni Kubomolewa

Mapouder ni madawa ya kulevya

Asante mkuu hilo nimeelewa utata ulikuwa kwamba je, kuna mtu anaitwa WEMA anayefanya hizo biashara au hayo majengo ya WEMA ndiyo yanatumika kwa ajili ya hiyo biashara??
 
Mambo wana jamii forum am a new member,plse tushirikiane kutoa maoni yetu kwa jamii inayo tuzunguka pamoja na serikali yetu,tuwe makini tunapochangia oja na kuandika vitu ambavyo tunauwakika navyo sio kuleteana majungu tu...:disapointed:.
 
Sio utaratibu wa nchi yetu ku question fedha zote chafu,hawa matajiri wanaoibuka kama uyoga they should be question tracking their bussiness for ten year back,UTENDAJI WA SERIKALI ADILIFU UPO WAPI?, leo unaweza kwanda bank ukadiposit huge amount of money with no question /some can give other a huge amounts as shati bovu pesa yetu ni ya simbabwe
 
Wema ni jina tu, kama ilivyo PPF towers.....majengo hayana uhusiano na Wema Sepetu.
 
Wema kwanza ni nani ninyie watu wa dar? Kwa arusha wema ni kilaza tu mbona hana lolote!haka kaself achopewa na jammaa yangu aliyeuawa kwa risasa labda ndo mnazungumzia nini?au hamjui hilo hata kwenye msiba alikuwepo amejifunika na miwani kubwa asisomeke huo ndo uzi wenyewe.
 
:disapointed:
He makubwa...Wema gani???

Wema+Sepetu
 
Sio utaratibu wa nchi yetu ku question fedha zote chafu,hawa matajiri wanaoibuka kama uyoga they should be question tracking their bussiness for ten year back,UTENDAJI WA SERIKALI ADILIFU UPO WAPI?, leo unaweza kwanda bank ukadiposit huge amount of money with no question /some can give other a huge amounts as shati bovu pesa yetu ni ya simbabwe

Mkubwa kuna bank niliwahi kudeposit mzigo flani hivi tumilioni kadhaa,wakaniuliza umetoa wapi nikamwambia niliuza kiwanja wakasema weka mkata ni-attach kwenye kikaratasi cha kudeposite wakapeleka kwa manager wakaisaini ndio niliweza kudeposite sasa nikashangaa kama process ni hizo mbona fedha nyingi chafu zinapita kwenye ma Bank haya yetu??
 
Wema kwanza ni nani ninyie watu wa dar? Kwa arusha wema ni kilaza tu mbona hana lolote!haka kaself achopewa na jammaa yangu aliyeuawa kwa risasa labda ndo mnazungumzia nini?au hamjui hilo hata kwenye msiba alikuwepo amejifunika na miwani kubwa asisomeke huo ndo uzi wenyewe.

kumbe unamjua
 
Back
Top Bottom