Majengo ya Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki

Majengo ya Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki

Jengo la bunge la Tanzania ndani niseme ni classic, la kisasa zaidi, linafanana sana la UKRAEN, isipokuwa rangi ya viti kule ni blue na Kwa spika ni green.
mi naona siyo classic kabisa japo ni modern. angalia la Uingereza hapo juu jinsi mbao zilivyodominate! hiyo ndiyo classic.
 
napenda bunge la Kenya lilivyobanana. letu lina nafasi kubwa na viti vya kuzunguka hadi watu wanalala.
Bunge letu limejengwa kwa ajili ya sasa na baadae tunaweza kuli edit kadri tuwezavyo kutokana na mahitaji na wingi wa watu.
 
Kabisa letu limezidi ukubwa, napenda udogo wa lile la Kenya pia, hata la Rwanda liko poa.
Wabongo bwana tungekua na Kabunge kadogo mngeanza kupiga kelele ooh tunatia aibu nchi kubwa km hii tunakabunge kadogo.
Ikumbukwe kwamba nchi yetu no kubwa na ina idadi kubwa ya watu kuliko nchi zote za Afrika Mashariki lazima tuwazidi hata kwenye ukubwa wa Bunge.
 
Back
Top Bottom