Kabisa letu limezidi ukubwa, napenda udogo wa lile la Kenya pia, hata la Rwanda liko poa.napenda bunge la Kenya lilivyobanana. letu lina nafasi kubwa na viti vya kuzunguka hadi watu wanalala.
Hahahaha Burundi ni funga kazi.La Burundi ni noma,sijaona
Bunge la Kenya linalingana sana na la Uingreza.Kabisa letu limezidi ukubwa, napenda udogo wa lile la Kenya pia, hata la Rwanda liko poa.
Nani kakuambia habari za demokrasia?wanalinganisha majengo tu au umefulia?Uzuri wa jengo siyo kuimarika demokrasia.
Tulia weye , msisitizo ndio yale yale ya a house is not home.Nani kakuambia habari za demokrasia?wanalinganisha majengo tu au umefulia?