Majeneza ya kukodi na makaburi ya kupanga

Lakini ni fursa nzuri ..ukiijengea miundombinu mizuri haitishi.. Huko kwa wenzetu makaburi ni kama masanduku yale posta.. Wenye kaburi lao wanakabidhiwa funguo wanatembea nayo wenyewe
Naam niliwahi kuona kweny baadhi ya movie
 
Tushawahi letaga friji kutoka Denmark
Used,lilikuwa kwa ajili ya kuwekea maiti
Ila tulijua,aliingiaga kingi mjeda mmja tukampiga kama friji nlimwambia hili ni friji la kuvuta😂😂
Anasema arooo hiri lifriji rinagandisha baraaa angejuaaa 😂😂😂

Kweli kabisa hii idea naipigiaga sana mahesabu

Ova
Daaaa jamani, yani akipitia hii comment lazima uozeee jela hatokumbuka kama linagandisha 😂😂😂😂
 
😂😂😂 si unajua biashara ya maused
Alafu ukiangalia hela imejileta utaiachaje
Kikubwa aliipenda mjeda yuko mpk leo mbweni
Na tunawasiliana tu,ila ipo siku ntamchana ukweli...

Ova
 
si unajua biashara ya maused
Alafu ukiangalia hela imejileta utaiachaje
Kikubwa aliipenda mjeda yuko mpk leo mbweni
Na tunawasiliana tu,ila ipo siku ntamchana ukweli...

Ova
Hapana mkaushie tuu
 
😂😂😂 si unajua biashara ya maused
Alafu ukiangalia hela imejileta utaiachaje
Kikubwa aliipenda mjeda yuko mpk leo mbweni
Na tunawasiliana tu,ila ipo siku ntamchana ukweli...

Ova
Daa yan nawaza nikijua lilikua linaekwa watu sijui nitajisikiaje, maana tu hapa imahination zangu zinavonituma nafungua kutoa nyanya nitaanza kuona watu sio nyanya ten.
Ila uhuni wako ni nxt level
 
Ni mazoea tuu mbona sisi mochwari tulikuwa tunaweka vinywaji vyetu kwenye yale ma freezer ya wafu?
 
Duuuuu ukiitoa unaiosha ndo unywe au? Daaa hadi nasisimka kwa kuogopa
Unaifuta tu kidogo.. Ni swala la mindset tuu.. Nyama ya ng'ombe kwenye fridge haina tofauti na maiti ya mtu mochwari kwenye jokofu
 
Licha ya kuwa na majeneza ya kukodi unaweza pia kuweka na ya kuuza moja kwa moja
Licha ya kuwa na makaburi ya kupanga unaweza pia kutenga na eneo la makaburi ya moja kwa moja
8e7ed1b0dc7e48f71be3b084345f6613.jpg
 
Nitakucheki.. Huu mchongo ni fursa adhimu nimeacha uganga acha nigeukie fursa nyinginezo
Mi nikajua 'idea' umeitoa kwenye link flani niliiona google, ipo kama ulivyoelezea.

Nilishuhudia jinsi hayo makaburi ya kupangisha yalivyo, ni vyumba vidogo vidogo mfumo wa drawers vinavyoweza kuhifadhi ukubwa wa jeneza moja kila kimoja, zilizojengwa kwenye ukuta mmoja.

Jeneza ama mkebe wa majivu ukishahifadhiwa humo, mlango hufungwa kwa slab ya zege na kuwekwa jina ama namba ya utambulishi.

Namna ndugu wanavyokuja kuondoa mabaki ya mpendwa wao, kuyahamisha ama hela ya pango kuisha, slab iliyofungia huvunjwa na kuchomoa jeneza.

Hayo mabaki yakishatolewa, chumba hubakia wazi kungojea mpangaji mwingine!
 
Hapana kabisa ni wazo langu binafsi kabisa ila haimaanishi halijawahi kufanyiwa kazi na wengine.. Naomba link tafadhali nielimike zaidi
 
Back
Top Bottom