Kwa mara ya kwanza kutokea Africa,natamani huo utaratibu ungesambaa sehemu zoteNi vzr kuona makamanda wa ngazi za juu wakisimamia UKWELI na kuheshimu maamuzi ya wananchi ,huo ndio uzalendo wa kweli na sio unafiki
Yawezekana alikua amejipanga, lakini ma-generali wakaamua kufikia mamuzi hayo kutokana na pengine Hali halisi ya kisiasa ndani ya Gambia. Pamoja na hayo, ma-generali hao wametazama hatma ya nchi na wananchi ikiwa wataendelea kumuunga mkono rais alie katalia madarakani.Kazi kweli kweli, kwa hio alimua kubaki madarakani bila kujipanga?
Mkuu uko sawa mm mwenyewe ni muumin wa udikteta naamin kwa nchi ambazi bado hazijaendelea udicteta unahitajika ili maendeleo yakifikia level fulan nzur ndio tuwaachie wapayukaji wa kisiasa waanze mambo yao maana huwa nakereka nchi INA matatizo lukuki halafu kila mtu anataka asikilizwe badala ya kutatua changamoto huku wengine wakitaka maandamano ni upuuzi tu. Angalia mifano kutoka China hakuna pure democracy anayoihubiri mmarekan still jamaa wako juu kiuchumi kuishinda ulaya na democrasia yaoMnaoshangilia miaka miwili ijayo mtaanza kusema walimuonea kama gaddafi, oooh alikua anajua kitakachotokea na lawama kibao.......
Waafrika tuna laaana, demokrasia haijawahi kua mfumo wa kiafrika lakini mtu anashabikia kama ipo kwenye DNA yake, kihistoria hakuna nchi ilioendelea bila dictatorship, either internal or external dictatorship
Hili jeshi halina nidhamu isipokuwa limeogopa mtiti wa jeshi la ECOWASHii ndiyo nidhamu ya Jeshi la wananchi kwa wananchi wake siyo kwa watawala wake.
Nadhani shukrani za kwanza ziwaendee ECOWAS...Lakini lazima ujue ECOWAS wakiongozwa na Senegal wanafua misuli kwa ajili ya kumtia adabu, kwa jiografia ya Gambia mpiganaji yeyote mwenye akili lazima ajue kitakachofuata baada ya vita kuanza kwani uwezi jua Senegal wataanzia pembe ipi. Hivyo uki geu geu nautegemea sana
Kwa hiyo Gambia ni moja ya nchi zilizoendelea Africa?! Ni sawa na Libya?Mnaoshangilia miaka miwili ijayo mtaanza kusema walimuonea kama gaddafi, oooh alikua anajua kitakachotokea na lawama kibao.......
Waafrika tuna laaana, demokrasia haijawahi kua mfumo wa kiafrika lakini mtu anashabikia kama ipo kwenye DNA yake, kihistoria hakuna nchi ilioendelea bila dictatorship, either internal or external dictatorship
ECOWAS wanaweza kuwa mfano wa kuigwa siku za baadae...ECOWAS ina sapoti matokeo ya uchaguzi na kuwalazimisha member wake waheshimu - je EAC wanaweza kufanya hivyo ? Kuruzinza ana haki ya kupata hofu ?
wamefanya vizuri...else na wao wangemsindikiza huko uhamishoni....Yawezekana alikua amejipanga, lakini ma-generali wakaamua kufikia mamuzi hayo kutokana na pengine Hali halisi ya kisiasa ndani ya Gambia. Pamoja na hayo, ma-generali hao wametazama hatma ya nchi na wananchi ikiwa wataendelea kumuunga mkono rais alie katalia madarakani.
Sasa kama unataka huo udikteta si wabadili katiba ijulikane kuwa ni udikteta na hakuna democracy, kuliko kutumia pesa nyingi katka uchaguzi halafu kushindwa hutaki, China wao wana mfumo wao wa kuchagua Rais, yani baraza la communist ndo linamchagua fulani kuwa Rais, na sio blah blah za uchaguz akat kushindwa hutakiMkuu uko sawa mm mwenyewe ni muumin wa udikteta naamin kwa nchi ambazi bado hazijaendelea udicteta unahitajika ili maendeleo yakifikia level fulan nzur ndio tuwaachie wapayukaji wa kisiasa waanze mambo yao maana huwa nakereka nchi INA matatizo lukuki halafu kila mtu anataka asikilizwe badala ya kutatua changamoto huku wengine wakitaka maandamano ni upuuzi tu. Angalia mifano kutoka China hakuna pure democracy anayoihubiri mmarekan still jamaa wako juu kiuchumi kuishinda ulaya na democrasia yao