ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 4,002
- 9,074
Mnaoshangilia miaka miwili ijayo mtaanza kusema walimuonea kama gaddafi, oooh alikua anajua kitakachotokea na lawama kibao.......
Waafrika tuna laaana, demokrasia haijawahi kua mfumo wa kiafrika lakini mtu anashabikia kama ipo kwenye DNA yake, kihistoria hakuna nchi ilioendelea bila dictatorship, either internal or external dictatorship
Sasa kuna haja gan ya uchaguzi kiongoz kama udikteta ndio mfumo unaofaa afrika unaonaje kuwe na utaratibu wa kupinduana kila baada ya miaka mitano