Gambia: Yahya Jammeh ashitakiwa na wahanga wa 'tiba' yake ya UKIMWI

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
Wahanga watatu wa tiba(ama iliyodaiwa kuwa tiba) ya UKIMWI ya aliyekuwa Rais wa Gambia, Ousman Sowe, Lamin Ceesay, na Fatou Jatta wamemshitaki Rais huyo aliye uhamishoni.

Rais Yahya Jammeh alianzisha tiba hiyo ya asili mwaka 2007 akidai inatibu UKIMWI. Tiba hiyo iliwataka wagonjwa hao kuacha kunywa dawa za kupunguza makali ya VVU za ARV na kunywa madawa ya asili yaliyowasababisha kutapika.

Madawa hayo yalisababisha hali zao kuwa mbaya na wengine kupoteza maisha. Wameeleza kuwa walikuwa na uoga wa kumshitaki akiwa Rais lakini sasa ukweli lazima ujulikane.

Wahanga hao wanataka fidia ya kifedha na pia tamko kuwa haki zao za Kibinadamu zilivunjwa. Jammeh atahukumiwa akiwa hayupo na anaweza kuwakilishwa akitaka.

Wahanga hao wamedai kuwa tiba hiyo iliwaathiri sana kisaikolojia kwani wakati mwingine aliwapaka dawa za mafuta katika vipindi vilivyooneshwa kwenye televisheni.

Programu hii ilirudisha nyuma harakati za kupambana na ugonjwa wa UKIMWI katika nchi hiyo ambayo iko nyuma katika viwango vya tiba kulingana na UNAIDS.

=======

Three victims of a fake AIDS cure created by Gambia’s ex-president sued for damages on Thursday in the first case against Yahya Jammeh to reach national courts since the former leader fled into exile.

The three filed a lawsuit at the High Court in the capital of Banjul on Thursday, said U.S.-based charity AIDS-Free World, which helped them gather evidence.

Jammeh, whose 22-year rule over the tiny West African country was marked by accusations of human rights abuses, fled to Equatorial Guinea last year after losing an election.

Jammeh’s HIV/AIDS treatment programme

Ousman Sowe, Lamin Ceesay, and Fatou Jatta were among the first Gambians who joined his HIV/AIDS treatment programme in 2007, where they were forced to give up anti-retroviral drugs and drink home-made potions that made them vomit.

Their health worsened, while others in the programme died.

“I believe it is my responsibility to hold Jammeh to account,” said Sowe, a former university lecturer in his 60s.

“I knew that one day the real story would be told.”

People were afraid to criticise the president when he was in power, the victims said, so doctors and patients publicly declared that his medicines were working.

The programme hampered real HIV/AIDS work in the Gambia, which trails behind other African countries in treatment rates, according to the U.N. agency UNAIDS.

‘Jammeh must pay’
It also worsened stigma against people with HIV and stripped them of dignity, said survivors. Sometimes Jammeh would rub ointment on their bodies in sessions that were broadcast on television, they told the Thomson Reuters Foundation.

Afterward, they lost their jobs and struggled to rent houses since their faces were recognizable, they said.

“Jammeh must pay for what he has done to us,” said Ceesay.

The victims are seeking financial damages for harm suffered and a declaration that their human rights were violated, said Saramba Kandeh, a legal associate at AIDS-Free World.

Jammeh will be tried in absentia and can be represented if he wants, she said.

“We want to send a clear message that people living with HIV are people like us,” Kandeh told the Thomson Reuters Foundation.

The Gambia-based Institute for Human Rights and Development in Africa and a Gambian attorney are also working on the case.

Source: Africanews
 
tatizo la mwafrika anapokua kiongozi yeye ujifanya ana akili nyingi kuliko yeyote chini yake. ukikaa kumsikiliza viongozi wengi sio wote wao uwa na weledi wa kila jambo
 
wanataka kumfilisi mdogomdogo kama mugabe nini??
Ndo kifuatacho madikteta ulewa sana mvinyo,kundi lake lililokuwa likiteka na kuuwa wapinzani wake wanasakwa kila sehemu Gambia wanafikishwa mahakamani, ukishatoka nje ya system huna nguvu,kwetu wasiojulikana wajiaandae tu Asubui yao hii karibu,
 
Back
Top Bottom