Majenerali Wamgeuka Yahya Jammeh, sasa kwenda uhamishoni

Mkuu Libya, Iraq, Saudi Arabia, UAE, China nk. Pia mataifa ya ulaya yalipiga hatua kipindi cha kina Hitler. Nimesema mambo yakikaa sawa kwenye nchi ndio democracy irudishwe kwa mfan kwa level ambayo Libya ilifikia kiuchumi na Huduma za kijamii Gadaffi alipaswa kurejesha utawala wa kidemokrasia kwa kuwa alishainyoosha nchi
Bahati mbaya Ma Dictator huwa hawana breki!
 
Jeshi limekubaliana kutopigana hawa majenerali hawawezi kuwa kubadili upepo wa jeshi. Ajiandae kuondoka tu na mpaka sasa yupo anapakia vitu vyake ya thamani tayari kwa kwenda nje
Na inaonekana alishajilimbikizia mimali...maana hayo magari yanayotajwa...eti anaenda nayo uhamishoni...sijui na akifa ataomba wamzike nayo...
 
Na inaonekana alishajilimbikizia mimali...maana hayo magari yanayotajwa...eti anaenda nayo uhamishoni...sijui na akifa ataomba wamzike nayo...
Huyu mtu alikuwa siyo wa kuacha aondoke kizembezembe tu namna hii ukizingatia kasabisha vifo zaid ya watu elfu moja
 
Lakini lazima ujue ECOWAS wakiongozwa na Senegal wanafua misuli kwa ajili ya kumtia adabu, kwa jiografia ya Gambia mpiganaji yeyote mwenye akili lazima ajue kitakachofuata baada ya vita kuanza kwani uwezi jua Senegal wataanzia pembe ipi. Hivyo uki geu geu nautegemea sana

Mkuu wa majeshi Leo ametoa kiapo cha utii kwa Jammeh

General Badjie nilijua hatoweza kumgeuka Jammeh

Jammeh chama chake ni cha i jeshi hvy ana sapoti la jeshi lote

Nilishangaa taarifa za magenerali kumgeuka ,nilikuwa na doubt kabisa
 
Jeshi limekubaliana kutopigana hawa majenerali hawawezi kuwa kubadili upepo wa jeshi. Ajiandae kuondoka tu na mpaka sasa yupo anapakia vitu vyake ya thamani tayari kwa kwenda nje
Haya sasa badala aachie ngazi kistaarabu aishi kwa raha anaanza kukimbia kimbia na kuwa mhamiaji haramu
 
Back
Top Bottom