'Majembe' yaliyowekwa benchi na mheshimiwa

'Majembe' yaliyowekwa benchi na mheshimiwa

Msimjaribu Rais wasomi wapo wengi sana Nchi hii sio lazima wawe wale wale miaka nenda rudi wakati wameboronga.
 
Livingstone lusinde?[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] .watake radhi binadamu.
LUSINDE HAFAI KUWA HATA MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA, LAKINI AKIPEWA NAFASI KWENYE KIKUNDI CHA TAARABU ANAWEZA KUFANYA MAAJABU.
 
Kanali Fabian Massawe akumbukwe tena nafasi ya ukuu wa Mkoa.
 
Sasa ni wakati Wa kuwakubali vijana zaidi na wao waonyeshe elimu yao kwa vitendo wazee wabaki kama washauri nadhani hiyo ingekaa vema zaidi japo namkubali sana Mzee FABIAN MASSAWE kwa utendaji wake.
 
Wote mseme hapo. Anna Tibaijuka ni jembe hasa huyu mama ni mtu mzuri kwa kazi
 
Ushauri wa kupiga diri!!! hawa wazee walifanya nchi ni mali yao wacha wapumzike sasa, kuna damu changa nyingi tu.
Kuhusu huyu mzee, nakubaliana na wewe. Kwanza ana uwezo wa kupangua hoja. Pamoja na umri, ila huyu mzee hata kwa ushauri huyu mzee ni jembe
 
Back
Top Bottom