'Majembe' yaliyowekwa benchi na mheshimiwa

Mheshimiwa anayo mamlaka ya kuteua na kutengua uteuzi wakati wowote. Kwa mtazamo wangu kuna majembe ambayo labda yangetusaidia, na nikiyapanga kwa rank ya umuhimu ni kama ifuatavyo :

1. Dr Sylvester Likwelile - PS Fedha
2. Dr. Ally Simba - TCRA
3. Mr Benard Mchomvu - chairman TRA
4. Kanali Fabian Massawe - RC Kagera
5. Lawrence Mafuru - Hazina

Mzee hawa jamaa wakipangiwa kazi nyingine muhimu watatusaidia sana. Pia chonde chonde Prof Ndullu ni jembe at your wish apewe nafasi , tena ikiwezekana muondolee hofu kuwa hataondoka ili awe huru zaidi
Kila zama na vitabu vyake...
Ni ile ile... tumejipanga na wataisoma....
 
Hao muda wao umeshapita,wajiajiri wenyewe c elimu wanazo
 
Mheshimiwa anayo mamlaka ya kuteua na kutengua uteuzi wakati wowote. Kwa mtazamo wangu kuna majembe ambayo labda yangetusaidia, na nikiyapanga kwa rank ya umuhimu ni kama ifuatavyo :

1. Dr Sylvester Likwelile - PS Fedha
2. Dr. Ally Simba - TCRA
3. Mr Benard Mchomvu - chairman TRA
4. Kanali Fabian Massawe - RC Kagera
5. Lawrence Mafuru - Hazina
Kuna dogo namkubali sana ningependa kuona na yeye anakumbukwa kwa kweli,
Ni Jerry Slaa, Hizi ni hazina za uongozi.
 
Livingstone lusinde? .watake radhi binadamu.
Binadamu wote nawaomba radhi kwa pendekezo langu kuonekana lina ukakasi, lakini natoa wito kwa wapigakura wa jimbo la mtera nao watuombe radhi watanzani kwa kitendo chao walichokifanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom