Majarida haya na watunzi wake:wako wapi?

Majarida haya na watunzi wake:wako wapi?

unaku,buka hadithi ya kilio katika sani??ya akina mazuu??na je wajua kuwa kuwa Linda alikuwa ni mpenzi wa zumo kabla hajachukuliwa na OBI??

Unakumbuka mtoto Vicky, alikuwa mzuri sana na alikuwa ameolewa na mzee mwenye mihela wao walikuwa watu wa matanuzi tu shopping Geneva, Paris London, likini ndani hakuwa na raha.
 
katika miaka ya tisini hadi 2000 kulikuwa na majarida mbalimbali yaliyokua yakituburudisha sana.Moja ya majarida hayo yalikua kama vile,BONGO,TABASAMU na SANI.Humo ndani kulikua na watunzi wazuri sana na wenye ubunifu wa hali ya juu sana,watunzi kama vile,DAUDI MASASI,FORTUNATUS NDILA(4T NDILA),na wengineo kibao.Hakika majarida haya yalikua yanatuburudisha sana na ilikua kila mwezi lazima upate kopi yako. Unakumbuka stori kama zifuatazao:- -Anga za wenyewe -Pablo Zungu -Bush Stars vs Born Town -Zena na Betina Kipepe na Mkasa wa masokwe unakumbuka watu wafuatao:- -Mapung'o -Njomba Nchumbari -Bob Mikwara Je wewe binafsi unazikumbuka stori hizo,watu hao na watunzi wake?hebu ongezea wengine bac na stori nyingine ili tukumbushane enzi.

Umesahau 'FAHARI' kiboko cha majarida. Mtunzi alikuwa Freddy Jimm Mdoe.
 
R.I.P John Kaduma. Umenikumbusha mbali sana.

Nakumbuka nilikuwa mnunuzi mzuri wa bongo na tabasamu. Mtaani walikuwa wanawekeana zamu kuja kuazima kwangu.

Mapung'o alipata jiko kwa ufungaji wa magoli.

Kumbuka " wimbi la kitintale "
 
Teh Teh Teh Umenikumbusha kina Kaboka mchiz, Zena na Betina, madenge cjui usitake nicheke na Yule Mzee kifimbo cheza Mzee wa kurekebisha Kiswahil, mambo ya digital yameharib kila kitu,cjui google, yutube,iPad,iPhone,imarc,Facebook,twitter, instagram etc wiz mtupu kila kitu Watu wana google tu cku iz,hakuna tena kusoma vijarida wala novel Aya tutaanzia wap kumgoogle Zena na Betina cye analogy..?hatar sana
 
DAUD MASASI na story yake ya KUMEKUCHA ndani ya TABASAMU. Huyu jamaa yupo Iringa, kwa sasa anauza story zake kwa kina Ray, JB Nk.

huyu jamaa namkubali sana,cku nikiingia Iringa ntamtauta walau nimuone tu
 
R.I.P John Kaduma. Umenikumbusha mbali sana.

Nakumbuka nilikuwa mnunuzi mzuri wa bongo na tabasamu. Mtaani walikuwa wanawekeana zamu kuja kuazima kwangu.

Mapung'o alipata jiko kwa ufungaji wa magoli.

Kumbuka " wimbi la kitintale "

hahaaaa umetisha mkuu,kweli wewe ulikuwa member wa majarida yale
 
Wadau mnakumbuka pambano la masumbwi kati ya Mapung'o na Baunsa Okello?
 
Kulikuwa na Mcheshi pia miaka ya 80, wanawake wa Mcheshi walikuwa wanachorwa na mahips, miguu chupa ya bia!!

hapo kwa wanawake wa kuchorwa aisee kwenye majarida walikua wanazidisha,msichana utafikiri hayupo dunian yan anakuwa wakipekeee ile mbaya
 
Usilinganishe jarida la sani na yale ya tabasamu na bongo la sani kitambo sana enzi za toto tundu, mpingo, pimbi, prof ndumilakuwili,kipepe,zumo,obi,ole,linda,mzee profesa,zena na betina,kifimbo cheza,madenge,kipepe,mwinyi mpeku,mzee sani mwenyewe,na ile makala ya jambo limezua jambo, Je unaikumbuka stor ya kisiwa cha kitintale? Ebana huo mzigo miaka ya90 duh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom