Majarida haya na watunzi wake:wako wapi?

Majarida haya na watunzi wake:wako wapi?

Kulikuwa na Mcheshi pia miaka ya 80, wanawake wa Mcheshi walikuwa wanachorwa na mahips, miguu chupa ya bia!!
Kumbe haya mambo yameanza zamani!!! Bibi kipindi hicho ulikuwa binti mbichi bado.
 
Usilinganishe jarida la sani na yale ya tabasamu na bongo la sani kitambo sana enzi za toto tundu, mpingo, pimbi, prof ndumilakuwili,kipepe,zumo,obi,ole,linda,mzee profesa,zena na betina,kifimbo cheza,madenge,kipepe,mwinyi mpeku,mzee sani mwenyewe,na ile makala ya jambo limezua jambo, Je unaikumbuka stor ya kisiwa cha kitintale? Ebana huo mzigo miaka ya90 duh.
umemsahau Sukununu mkuu
 
katika miaka ya tisini hadi 2000 kulikuwa na majarida mbalimbali yaliyokua yakituburudisha sana.Moja ya majarida hayo yalikua kama vile,BONGO,TABASAMU na SANI.Humo ndani kulikua na watunzi wazuri sana na wenye ubunifu wa hali ya juu sana,watunzi kama vile,DAUDI MASASI,FORTUNATUS NDILA(4T NDILA),na wengineo kibao.Hakika majarida haya yalikua yanatuburudisha sana na ilikua kila mwezi lazima upate kopi yako. Unakumbuka stori kama zifuatazao:- -Anga za wenyewe -Pablo Zungu -Bush Stars vs Born Town -Zena na Betina Kipepe na Mkasa wa masokwe unakumbuka watu wafuatao:- -Mapung'o -Njomba Nchumbari -Bob Mikwara Je wewe binafsi unazikumbuka stori hizo,watu hao na watunzi wake?hebu ongezea wengine bac na stori nyingine ili tukumbushane enzi.
Miongoni mwa makosa makubwa uloyafanya labda kwa bahati mbaya au makusudically ni kutojumuisha kisa cha mzee meko na bob mazishi acha niishie hapa kwanza
 
Imagination za hao wachoraji zilikuwa noma sana, waliweza kumchora mwanamke kwa kumpendelea sana.
 
2382506_IMG_20200428_100752.jpg
Mkitupia na picha italeta utamu zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom