Majaribuni mikononi mwa watu wa kitengo

Majaribuni mikononi mwa watu wa kitengo

Nikiwa kidato cha tatu mwaka 2008 nilipata rafiki kijana mpole,mstaarabu kweli kweli ambaye alikua anafanya kazi serikalini lakini sikujua hasa ni ofisi ipi alikua anaifanyia kazi mpaka baadaye baada ya miaka miwili akili ilipopevuka kidogo. Kwasababu nilikua nasoma day school jioni nilikua naenda kwake tunakula,kunywa na kubishana story za mpira kidogo. Siku moja nilimpeleka home majira ya usiku saa mbili usiku.

Tulipomaliza kula nilimsindikiza mie nikarud home, ile naingia ndani tu bibi yangu ambaye kwa wakati huo alikua mtumishi kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya kwa takribani miaka 20 aliniuliza kwa mshangao "unaongea nini na watu wa security??" Sikumuelewa nilijua ni complications za bibi yangu maana alikua mtata kweli kweli na kwasababu alinilea tokea mdogo na alinichagulia hadi rafiki wa kuongea nao.

Miaka miwili baadaye nikiwa kidato cha tano siku moja nilirudi toka shule ilikua likizo fupi, nikaenda kwa jamaa yangu kumpa hi bahati mbaya alikua ametoka ila nilipompigia simu alinambia niingie ndani kwan mlango aliegesha na angenikuta hapo baadaye kidogo. Kwenye meza ya chakula kulikua na laptop na baadhi ya documents nilienda kuchukua ile computer ili nichek kama movies zitakuwepo maana nilitoka bweni kuhenyeka na misuli ya masomo nilikua na ukame wa movies.

Nilipoigusa ile PC Nilishtuka nilipoona ujumbe uliokiua kwenye mfano wa emails uliokua unampa jamaa yangu maekekezo ya kumfuatilia kwa kina aliyekua waziri wa miundombinu na uchukuzi kwa wakati huo tena ukimkomandi "haraka sana". Sikujua huyo jamaa ni nani mpaka amfuatilie professor yule, chini ya zile documents kulikua na ID iliyoeyesha jamaa alikua ni nani. Nilikuja kufikiria maneno ya bibi yangu nikachanganya na akili yangu kuwa nilikua karibu mno na "jasusi" la serikali na tokea hapo nikaanza kuwa makini na watu nnaongea nao. Sikuwahi kumuuliza jamaa kitu chochote maana nilianza kumuogopa na nilikua na mtizamo hasi kuhusiana na majasusi

Mwaka 2015 nikiwa namalizia kadigrii kangu siku moja jumamosi saa kumi na mbili hiv asubuhi nilipigiwa simu na watu walijitambulisha kuwa ni ma ofisa kutoka "UTUMISHI" hivyo napaswa kuamka na kwenda chuo ntawakuta wakiwa hapo kwenye bwalo kubwa la mitihani na mikutano ya chuo sikujua wapi wametoa namba zangu maana nilipigiwa kwenye line ya voda ambayo huwa siitumii mara kwa mara na line yangu iliyozoeleka ya tigo niliizima. Mnyamwezi nikajisemea ukisikia "zali la mentali ndo hili" mwezi mmoja kabla ya final exams naitwa interview na serikali?

Nilipofika chuoni nilikuta wajomba wapo na wanafunzi wa kozi zingine kibao, mara nikaona na washikaji zangu sana wawili ambao nilikua nasoma na kuishi nao mtaani wapo. Nikiri kuwa ile interview ilikua ya ajabu ina maswali karibu kitabu cha kurasa 100... nilijiuliza hii ni interview ya namna gani?

Baada ya kumaliza chuo niliamua kubaki town kutafuta life nilijua mkoani kisingekua na fursa za ajira kama hapa town.... huu ndo wakati uliokuwa mgumu kwanuki boom lilikua limekata na mtaani palikua pamoto sana... ilikua kila ikifika jion nakaa kibalazani napiga story na masela niliosoma nao na tukaamua kubaki town kukomaa, miezi 9 ilikua imepita baada ya chuo kuisha, ikumbukwe kuwa katika masela sita tuliokua tunashinda kijiweni jioni wanne tulishiriki kwenye ile interview ya mwez wa sita kabla hatujamaliza chuo.

Kwa wakati ule kijiwe kilikua kinachangamka vibaya mno, tukaanza kupokea wageni tusiowajua ambao baadaye walikuja kuwa washkaji zetu sana kariba ya watu hawa haikutofautiana kabisa na jamaa yule wa miaka ya 2008 niliyowaambia mwanzoni kabisa mwa story hii, walikua washikaji wawili wapole sana, watanashati na wanaonekana kuwa na akili nyingi sana. Maswali yao na hoja zao zililenga kupata ufahamu wetu juu ya masula mbali mbali hasa ya kisiasa na kiuchumi ila hasa mitizamo yetu ya kisiasa.

Nilishindwa kuhisi chochote maana walijitambulisha kuwa wao ni wanafunzi waliohitimu chuo kama sisi ila wao walimaliza Mzumbe university morogoro. Kumbe walikua kazini bwana na kazi yao ilikua ni kuangalia mienendo yetu kabla ya kuitwa rasmi kitengoni wao wanaita "vetting " na hapa palikua pamoto maaana tulinza kuhisi kuchunguzwa kupita kiasi kila nikiamka mara aunt yangu wa mbeya anauliza "kuna watu wananipigia simu kuniuliza kuhusu wewe uliwapa namba yangu?" Kesho yake jamaa yangu niliyesoma nae shule ya msingi darasa la kwanza 1999 hadi darasa la saba 2005 nae anaulizwa ulizwa kuhusu mimi...nikiwauliza washikaji zangu nao ni hivyo hivyo.... hapo tukajua fika kua tulikua chini ya uangalizi wa kitengo....
TUTAENDELEA
Mtu aliyefika chuo hawezi kuandika bila andiko refu namna hii bila kuweka alama za uandishi.
 
what kind of an idiot leaves his laptop which contains sensitive informations unlocked with emails open plus ID and other documents on the table ? if that is not enough his door was unlocked too! the answer is NONE! you've fabricated this story.
Hata kashoghi alikuwa kitengo lkn alipojisahau mwenzake wakamla kichwa, hao pia ni binaadamu kujisahau ni hulka ya mwanadamu
 
Unamfahamu Skripal?

Au Alexander Litnivenko?
 
Km umeweza kuleta hii hadithi hapa, basi itakuwa ulifeli vetting process
 
what kind of an idiot leaves his laptop which contains sensitive informations unlocked with emails open plus ID and other documents on the table ? if that is not enough his door was unlocked too! the answer is NONE! you've fabricated this story.

Hutaki ama? Toka umeanza kazi hapo kitengo Hujawahi kuacha mambo yako wazi na mtu akajua bila ww kufahamu? Ni kweli nyie watu wa kitengo mna kaumakini fulani kulinganisha na kada nyingine lakini sio makini wa kiwango unachotaka tuamini. Mngekuwa makini hivyo nchi ingeingia hii mikataba ya kipuuzi?
 
what kind of an idiot leaves his laptop which contains sensitive informations unlocked with emails open plus ID and other documents on the table ? if that is not enough his door was unlocked too! the answer is NONE! you've fabricated this story.
Usiseme ni Chai maana bado itaendelea
 
what kind of an idiot leaves his laptop which contains sensitive informations unlocked with emails open plus ID and other documents on the table ? if that is not enough his door was unlocked too! the answer is NONE! you've fabricated this story.
huyu dogo analeta stori za vijiweni na matamanio ya kishamba shamba
 
Back
Top Bottom