Majaribuni mikononi mwa watu wa kitengo

Majaribuni mikononi mwa watu wa kitengo

wengi wanamshambulia mleta maada
but swala la kuifadhi/kuitunza Siri ni mtazamo wa MTU.
binafsi nimekutana na mambo yafuatayo kutoka kwa watu wa usalama
1) kuna mmoja alikuwa mtaani kwetu,yaani alikuwa akilewa ilikuwa balaaa.
ataanza kuropoka mambo yake.japo alikuwa akiongea ki mafumbo lakini ukisikilzia kwa makini utaelewa
Yule jamaa alikuwa mkorofi snaa hususani kwa mapolisi coz alikuwa mzee wa totoz ..na alikuwa anajitamba balaa.
akienda polisi asubuhi ya saa 4 saa 5 unamkuta baa
nadhani kituo alihamishwa/alifukuzwa kazi coz yapata miaka mi5 sijamtia machoni japo ndugu zake wapo.
2) Hawa walikuwa wanafunz nasoma nao ..kipindi nipo chuo first year
na wote tulikuwa tumetoka level moja na tupo age na Kimo sawa,,
walikuwa watu wa kutotulia sehemu na hata mijadala yao ilikuwa ya kimitego Sanaa.
pia walikuwa watu ambao walikuwa hawaogopi kitu..ujue kijana ni kijana ty ndiyo maana hata kina Bashite pamoja na mamlaka yao yote lakini zile sifa kuu za ujana bado wanazo (mostly ulimbukeni fulani,totoz ,sifa etc)
sasa huyu mmoja alikuwa anapenda kuoshea Sanaa kwa wanafunz esp totoz
mara pics zako akionesha yupo na viongozi mara mambo mengi yaani (ki UFUPI hapa usalama wanafail Sanaa kuchukua watt wadogo I.e wanafunz wa o level/advanve coz bado ni mature Sanaa)
3)Nimebahatika kusoma shule special (Vpaji maalumu)
huku Kariba ya wanafunz wengi ambao either wanajiandaa kwenda (Jkt/chuo mostly kidato cha 6)
huwa wanapenda kuwa Chukua na kuwa train coz nakumbuka kipindi nipo shule (shule kapuni) watu wa idara walikuja (hawakujitambulisha directly but ilikuwa easy kuwangamua) na kuchagua baadhi ya wanafunz
hao wanafunz (majina kapuni) baada ya kumaliza kidato cha 6.
sikufanikiwa kuonana nao tena mpaka nipo namaliza chuo mwaka wa mwisho ambapo story zao zilikuwa za kusisimua zaidi(hapa nitahifadhi kwa maslah yao)
but NARUDIA kuna wengine ile natural ya kuwa wa kimya/wasiri hawana yaani hata kama utampa kitu/atafanya kitu hata umtreatije bado asili ya uropo lazima atakupa (ikiwemo Hawa niliosoma nao)
4) Hii ilitokea kwenye familia yetu,kwa muda mrefu nilikuwa sifahamu kazi ya baba
na muda mwingi nilijua uenda atakuwa ni mlisha kondoo wa Bwana lakini haikuwa hivyo
mpaka kipindi nilipofika kidato cha 4
baada ya kuingia chumbani kwake kwa Siri nakukuta VITU vingi ikiwemo PC na I'd ambazo ziliniacha mdomo WAZi ( hapo kulikuwa na mtengano wa ki familia kutokana na kazi ya baba ya utumishi muda mwingi baba alikuwa anaenda mikoani kwenye uinjilisti/mama alikuwa anampokea baba kwenye huduma)
kumbe wote walikuwa NyOka kwa kivuli cha Dini
Lakini Hawa watu wana machale nakumbuka mzee alingamua kuwa nimeenda room kwake
na akajifanya ajuh kitu zaidi ya kujisafisha ki mtindo wa psychology but sikutaka/KUPENDA baba ajue kuwa nimengamua kitu na Mimi nikavunga mazima (mpaka pale nilipofanikiwa kupata ugali wa kwangu+familia yangu ndipo kwenye story na mzee nikamkumbusha lile tukio)
NB: Watu wa usalama nao ni watu kama sisi
kujisahau napo kupo achilia mbali ulimbukeni/tabia ya MTU huwa haifi nayo ipo
ref:Yule chahali mbona anashindwa kukaa kimya hata kama walimtoa kitengo?!?
and then kumekuwa na upotoshwaji Mwingi either wa kimakusudi/wakutokujua dhidi ya watu wa usalama wa Nchi
kwa Nchi zinazoendelea Majasusi wa usalama wanajulikana na hata ajira zao zinatangazwa public.
Pumba tupu, tunaishi na wana kitengo hadi vyumbani mwao kama mtu sio wa karibu huwezi jua, vyumbani kwao mtu yeyote anaingia.

Siku hizi siri sio malaptop. Ni kuhifadh kichwani tu.

Ukiona masimu mengi mara malaptop ujue huyo sio mwanakitengo na mwanahabari...

So baba yako alikuwa mwanahabari

Wanavitengo huwezi kuta kabebelea misimu na milaptop nyumbani .

So baba yako alikuwa mwanahabari wa gazete la muciba
 
mbinu za mshua nitakuwa naharibu kazi zao sasa.
siwezi kusema alikuwa anafanya nini na hata kanisa/dhehebu lake sitopenda niliweke
lakini navyojua mimi
idara ya usalama Imesambaa hadi kwenye taasisi za dini/kiroho
kuna viongozi wengine wa ki dini wao wapo kwa maslah ya Nchi tyu.
na kuna wengine wapo 4mission
migogoro mingi mikubwa ya taasisi za kidini
wengi wanamsingizia shetani
lakini mingine huwa kuna naniuu.......
Topic clossed mzee
Wewe pimbi kabisa, baba yako alikuwa mwandishi wa habari.

Wana vitengo tunao wajua huwa hawana Sifa kama hizi.

Ni jamaa ambao wako wako tu, tena normal sanaaa.

Musimu au milaptop kwanza hawatakiwi kubebelea hivyo na kuyatunza nyumbani.

Kwa hiyo acha kudanganya watu humu
 
Sijawahi kuona daktari anaogopa kuchambua mambo ya kitabibu...na huwa Wanafanya Sana uchambuzi na case mbali mbali Sema ndio hivyo huwa hawatoi majina ya wagonjwa na info zao.

Kwa hiyo mshua wako alikukataza usiwe Unatoa mbinu sio? Alikupika vyema. Kwa hiyo unaendeleza libeneke kikanisa Kanisa Au pande zingine?
kwa Nchi zetu za kiafrica
wanasema kutaja/kusema mambo yahusuyo idara ya usalama wa Nchi ni kosa..
ikiwemo kusema/kutaja mbinu zao hilo ni kosa kubwa.
na kama story ni muhimu kusema kwa mipaka maalumu.
binafsi nimeongea niliyoyashuhudia.
halafu hata watu wa usalama huwa hawastafu majukumu yao.
Nchi yetu inaponzwa na Nepotism
binafsi sipendi kufanya kazi ya Ukoo.
yaani unakuta ukoo fulani kama baba ni polisi baasi kuanzia wajomba,baba wadogo/wakubwa,binadamu,mashangazi na hadi babu nao ni mapolisi
hiyo kitu huwa sipendi
so kazi hiyo nilikuwa sipendi na binafsi haikuwa kwenye damu
kwa maana hiyo hata kuwa na ndoto za kuwa afsa sikupenda na Wala kuhitaji
napenda maisha ya kujiachia Sanaa
na watu wa usalama wengi huwa ni wa fake maisha
dar anaweza kuwa dereva taksi/boda boda
lakini akienda kigoma huko uvinza unamkuta ni afsa utumishi wa umma
au K/Koo unaweza kumkuta mmachinga lakini akiwa mbeya ni afsa ugavi
achilia mbali madhabahuni hallelujah hallelujah usiku ana ripoti mission.

me napendaga maisha ya kujiachilia bhnaa
japo sometime kuwa MTU wa usalama rahaaa Sanaa.
unakuwa na acces ya kuingia/kufanya tukio lolote
 
Pumba tupu, tunaishi na wana kitengo hadi vyumbani mwao kama mtu sio wa karibu huwezi jua, vyumbani kwao mtu yeyote anaingia.

Siku hizi siri sio malaptop. Ni kuhifadh kichwani tu.

Ukiona masimu mengi mara malaptop ujue huyo sio mwanakitengo na mwanahabari...

So baba yako alikuwa mwanahabari

Wanavitengo huwezi kuta kabebelea misimu na milaptop nyumbani .

So baba yako alikuwa mwanahabari wa gazete la muciba
Bila Shaka miaka ya 2000+ gazeti la musiba lilikuwepo
and then siyo Kila jambo nilakuliweka public kama nimefupisha storry je?
 
Wewe pimbi kabisa, baba yako alikuwa mwandishi wa habari.

Wana vitengo tunao wajua huwa hawana Sifa kama hizi.

Ni jamaa ambao wako wako tu, tena normal sanaaa.

Musimu au milaptop kwanza hawatakiwi kubebelea hivyo na kuyatunza nyumbani.

Kwa hiyo acha kudanganya watu humu
ungepata bahat ya kusali kanisani kwetu enzi baba yupo kazini nadhani usingeamini kama ana isnitch madhabahu.
hujuh kitu nafuu UNYAMAZE
MTU wa usalama anaweza ect muonekano wowote 4as long as to commplete mission
mbona wapo maafisa ambao huwa ni vichaa,.je, nao utakataa kusema kuwa afsa hawez kuwa KICHAA?
achilia mbali mbona hata maofisini tubao wengi? je utasema afsa hawez kuwa MTU wa ofisi fulani?!
nakumbuka hata kipindi tupo jkt (kambi nahifadhi)
tulikuwa tunawapatia wale maafande yaani kuna wahuni walikuwa wana ect kama maafisa bhs daah wale kuruta walikuwa wanawaogopa kichizi kumbe swagz tyu
 
Japo napenda story lakini nakuomba usitishe story yako tamu.. Maana jamaa watakutoa upepo
 
Wewe pimbi kabisa, baba yako alikuwa mwandishi wa habari.

Wana vitengo tunao wajua huwa hawana Sifa kama hizi.

Ni jamaa ambao wako wako tu, tena normal sanaaa.

Musimu au milaptop kwanza hawatakiwi kubebelea hivyo na kuyatunza nyumbani.

Kwa hiyo acha kudanganya watu humu
Wazee Mbona mnabishana badala ya kutuelimisha? Nyie malizaneni kwa code tu maana mnajuana na mnakazana ku derail hii kitu.
 
ungepata bahat ya kusali kanisani kwetu enzi baba yupo kazini nadhani usingeamini kama ana isnitch madhabahu.
hujuh kitu nafuu UNYAMAZE
MTU wa usalama anaweza ect muonekano wowote 4as long as to commplete mission
mbona wapo maafisa ambao huwa ni vichaa,.je, nao utakataa kusema kuwa afsa hawez kuwa KICHAA?
achilia mbali mbona hata maofisini tubao wengi? je utasema afsa hawez kuwa MTU wa ofisi fulani?!
nakumbuka hata kipindi tupo jkt (kambi nahifadhi)
tulikuwa tunawapatia wale maafande yaani kuna wahuni walikuwa wana ect kama maafisa bhs daah wale kuruta walikuwa wanawaogopa kichizi kumbe swagz tyu
Story yako haijatofautiana Sana na mleta uzi. Next time watu hawatakunywa chai na ninyi.
 
Story yako haijatofautiana Sana na mleta uzi. Next time watu hawatakunywa chai na ninyi.
Nimekufatilia tangu juu ukijaribu kumhoji jamaa maswali ya mtego aisee we jamaa mtu mbaya sana, Nilihisi hutagundua kuwa hii ni Chai
 
Back
Top Bottom