Hawezi kuwa hata karibu nna mwana usalama huyu! Wakati 'ule'mlipokuwa kijiweni akiwauliza maswali kadhaa kuhusu nyie aliwezaje kuji cover kuto expose back ground yake ikiwa hapa tu hakuna aliyemuuliza hata swali moja lakini yeye katiririka tu bila hata nukta wala koma? Jasusi anafundishwa namna ya kuji cover dhidi ya jasusi mwingine,na jasusi mwingine kwa mujibu wa ethics za kijasusi ni mtu YEYOTE hadi Kitu CHOCHOTE! Hiyo loophole ya wewe tu kumtambua jasusi ina mdisqualify huyo kuwa hafai kuwa jasusi! Jasusi gani huyo anayempigia Shangazi yako simu na kumuuliza habari zako wakati ana uwezo wa kuku track 24/7 kwa almost nyendo zako zote?maana hata kwenye kuulizia tu njia ya kuelekea sehemu fulani kuna namna ya kuuliza ambayo haitamwacha muulizwaji na shaka,hakuna jasusi who is so unethical to the point of binding himself to the blue chain like that! Yaani unampigia simu Shangazi yake,shangazi anampigia mjomba,mjomba anampigia dada yake ambaye ndiye mama yako kuwa kuna watu wanaulizia ABC zako,naye anampigia baba yako kumweleza,baba yako anatafuta hiyo namba ya huyo mpigaji aongee naye!hapo unakuta baba naye ni jasusi wa upande mwingine,unadhani atafanyaje? Anakutengenezea trojan horse! Balaa!