*MAJARIBIO YA MACHO*

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
*MAJARIBIO YA MACHO*

TAZAMA HUO MDUARA MWEKUNDU KWA SEKUNDE KADHAA.

KAMA UTAONA No 88-Jicho lako la kushoto lina Matatizo.

Kama utaona No-83 jicho lako la kulia lina matatizo.

Kama umeoana 33 Yote yana matatizo

Kama utaona 38-Macho yako yote mazima.

JARIBU UONE.

TAZAMA HUO MDUARA MWEKUNDU KWA SEKUNDE KADHAA..jpg
 
Hata mimi nimeona 38 ingawa ni MYOPIA na huwa navaa miwani ya Concave -0.05 Left na -0.5 Right.
 
*MAJARIBIO YA MACHO*

TAZAMA HUO MDUARA MWEKUNDU KWA SEKUNDE KADHAA.

KAMA UTAONA No 88-Jicho lako la kushoto lina Matatizo.

Kama utaona No-83 jicho lako la kulia lina matatizo.

Kama umeoana 33 Yote yana matatizo

Kama utaona 38-Macho yako yote mazima.

JARIBU UONE.

View attachment 434274


Jamani sasa huu ni mtihani...mimi nimeona namba 38...lakini juzi juzi nilikwenda kwa eye specialist akanipima macho yangu akaona yana matatizo na nikapewa miwani, sasa hii ya kwako imekaaje????
 
Me pia tatizo la macho but I can see 38. Jipange upya mkuu unaweza ukawa mtaalam wa kesho.
 
Too theoretical not practical, nina tatizo la macho hasa, hapa nimeona 38, this is not proven method to test...
 
Nahisi watu wengi wanaona 38 kwakua hiyo namba imebeba taarifa ambayo wanataka kuisikia.
Automatically ubongo unajiandaa kwa kuiona 38 na utaiona kweli kwakua ndivyo ulivyojiandaa.
 
Back
Top Bottom