Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,968
- 22,433
Alafu tunasema tuna serikali hapa TANZANIA
Umesema hizo gari zinaonekana mara kwa mara sasa inakuwaje vijana wameshindwa hata kusoma namba maana rangi wamezitambua na sio mara moja.
Kama weye ni Mzalendo kweli kweli, umepewa Muda na siku na rangi na jina la kampuni mpaka aina ya gari nenda weye sasa jitolee ukavinjari maeneo husika ili ukiwaona wanaingia mbugani uwafuatilie na boda boda na movie camera yako. Weye ndo utuletee movie nzima.
Unafikiri kwamba ni rahisi saana jangili akuone una ka mchina kako halafu unakafinyafinya wakuombe msaada wa salio? Hata maiti yako haitajulikana ilipo pelekwa.
Usipende kulaumu badala ya kushukuru kuwa tumepewa hata hii taarifa. Mwambie Rumisha aache kusemea humu jf aende huko kituo husika ndiye atuletee taarifa na picha huku si maneno kwamba tunailinda mali asili yetu huku tembo wanapoteza meno yao na uhai wao.
Hii itadharauliwa na kupuuziwa kama story tu, lakini ijulikane ni kila siku Tembo kadhaa wanadondoshwa, kwa pace hii iloyoko sasa hivi baada ya miezi miwili Serengeti, Ngorongoro na Tarangire zitakuwa hazina Tembo hai tena, ni harufu tu ya mizoga.
Tupige Vita ujangili.
iWorry.
Bado sijaelewa kwanini hawakuandika namba za gari ambacho ni kitu muhimu zaidi kuli vyote.
Guys naamini jambo lolote haliwezi kufanikiwa kama hamna uzalendo,umeona jambo kama hilo limetokea,hamuwezi kujipanga wanakijiji na mkareact,watu wana silaha lakini nguvu ya umma ni zaid ya silaha.
Let us fight togher na together we can do anything
-Wakuu hizi ni habari za uhakika kutoka kwa ndugu ambao wanaishi ndani ya hifadhi ya Serengeti. Habari zenyewe ni kwamba, kuna wachina wanaotembea na magari mawili aina ya Landcruiser za kusafirisha watalii na NOAH (yenye vioo vyeusi) wanaingia ndani ya hifadhi na kuwaua Tembo.
-Wakazi na Vijana wanaoishi na kuchunga ngombe ndani ya hifadhi wamewaona Wachina mara kadhaa. Ila majuzi (Jumapili) Wachina kama watatu wakisindikizwa na watu waliovaa sare za askari wa wanyamapori, wakiwa na silaha nzito, waliingia ndani ya Serengeti na kuiua familia ya Tembo tisa na kuwanyofoa pembe zao .
-Inasemekana hichi kitendo kilifanyika chini ya lisaa. Ina maana hao tembo waliuwawa na meno yao kunyofolewa chini ya lisaa limoja. Hawa vijana baada ya kusikia milio ya Bunduki, walilazimika kujificha huku wakiangalia kitendo kizima na hatimaye meno ya tembo kupakiwa ndani ya Landcruiser . Vijana hao waliogopa kuomba msaada wakidhania wangeuawa na hao majangili hao.
-Hawa wachina uonekana siku za Jumapili au jumamosi tu.Wachina wanapanda Noah huku wale (weusi) waliovaa sare za Askari wanyama pori wanatembea na Landcruiser ya Kijani yenye nembo ya TANAPA. Siku zote Landcruiser ndio utangulia, na mara nyingi wanatoka ndani ya hifadhi kuelekea Mugumu