mkuu mleta mada,huoni kama unachonganisha Tz na China?hizi nchi ni marafiki na hata ccm na chama cha huko ni marafiki.
pia mchina kaahidi kutulinda kwa garama yeyote!
-Wakuu hizi ni habari za uhakika kutoka kwa ndugu ambao wanaishi ndani ya hifadhi ya Serengeti. Habari zenyewe ni kwamba, kuna wachina wanaotembea na magari mawili aina ya Landcruiser za kusafirisha watalii na NOAH (yenye vioo vyeusi) wanaingia ndani ya hifadhi na kuwaua Tembo.
-Wakazi na Vijana wanaoishi na kuchunga ngombe ndani ya hifadhi wamewaona Wachina mara kadhaa.
kaz ipo,ukiona serkal imefunga ndoa na majangiri(wachina) jua nayo n sehem ya tatz ivo hawez kukomesha
Hii nchi ni kama haina viongozi.Mungu wangu weeeeeeeeeeeee!!!-Wakuu hizi ni habari za uhakika kutoka kwa ndugu ambao wanaishi ndani ya hifadhi ya Serengeti. Habari zenyewe ni kwamba, kuna wachina wanaotembea na magari mawili aina ya Landcruiser za kusafirisha watalii na NOAH (yenye vioo vyeusi) wanaingia ndani ya hifadhi na kuwaua Tembo.
-Wakazi na Vijana wanaoishi na kuchunga ngombe ndani ya hifadhi wamewaona Wachina mara kadhaa. Ila majuzi (Jumapili) Wachina kama watatu wakisindikizwa na watu waliovaa sare za askari wa wanyamapori, wakiwa na silaha nzito, waliingia ndani ya Serengeti na kuiua familia ya Tembo tisa na kuwanyofoa pembe zao .
-Inasemekana hichi kitendo kilifanyika chini ya lisaa. Ina maana hao tembo waliuwawa na meno yao kunyofolewa chini ya lisaa limoja. Hawa vijana baada ya kusikia milio ya Bunduki, walilazimika kujificha huku wakiangalia kitendo kizima na hatimaye meno ya tembo kupakiwa ndani ya Landcruiser . Vijana hao waliogopa kuomba msaada wakidhania wangeuawa na hao majangili hao.
-Hawa wachina uonekana siku za Jumapili au jumamosi tu.Wachina wanapanda Noah huku wale (weusi) waliovaa sare za Askari wanyama pori wanatembea na Landcruiser ya Kijani yenye nembo ya TANAPA. Siku zote Landcruiser ndio utangulia, na mara nyingi wanatoka ndani ya hifadhi kuelekea Mugumu
mkuu mleta mada,huoni kama unachonganisha Tz na China?hizi nchi ni marafiki na hata ccm na chama cha huko ni marafiki.
pia mchina kaahidi kutulinda kwa garama yeyote!
-Wakuu hizi ni habari za uhakika kutoka kwa ndugu ambao wanaishi ndani ya hifadhi ya Serengeti. Habari zenyewe ni kwamba, kuna wachina wanaotembea na magari mawili aina ya Landcruiser za kusafirisha watalii na NOAH (yenye vioo vyeusi) wanaingia ndani ya hifadhi na kuwaua Tembo.
-Wakazi na Vijana wanaoishi na kuchunga ngombe ndani ya hifadhi wamewaona Wachina mara kadhaa. Ila majuzi (Jumapili) Wachina kama watatu wakisindikizwa na watu waliovaa sare za askari wa wanyamapori, wakiwa na silaha nzito, waliingia ndani ya Serengeti na kuiua familia ya Tembo tisa na kuwanyofoa pembe zao .
-Inasemekana hichi kitendo kilifanyika chini ya lisaa. Ina maana hao tembo waliuwawa na meno yao kunyofolewa chini ya lisaa limoja. Hawa vijana baada ya kusikia milio ya Bunduki, walilazimika kujificha huku wakiangalia kitendo kizima na hatimaye meno ya tembo kupakiwa ndani ya Landcruiser . Vijana hao waliogopa kuomba msaada wakidhania wangeuawa na hao majangili hao.
-Hawa wachina uonekana siku za Jumapili au jumamosi tu.Wachina wanapanda Noah huku wale (weusi) waliovaa sare za Askari wanyama pori wanatembea na Landcruiser ya Kijani yenye nembo ya TANAPA. Siku zote Landcruiser ndio utangulia, na mara nyingi wanatoka ndani ya hifadhi kuelekea Mugumu
-Wakuu hizi ni habari za uhakika kutoka kwa ndugu ambao wanaishi ndani ya hifadhi ya Serengeti. Habari zenyewe ni kwamba, kuna wachina wanaotembea na magari mawili aina ya Landcruiser za kusafirisha watalii na NOAH (yenye vioo vyeusi) wanaingia ndani ya hifadhi na kuwaua Tembo.
-Wakazi na Vijana wanaoishi na kuchunga ngombe ndani ya hifadhi wamewaona Wachina mara kadhaa. Ila majuzi (Jumapili) Wachina kama watatu wakisindikizwa na watu waliovaa sare za askari wa wanyamapori, wakiwa na silaha nzito, waliingia ndani ya Serengeti na kuiua familia ya Tembo tisa na kuwanyofoa pembe zao .
-Inasemekana hichi kitendo kilifanyika chini ya lisaa. Ina maana hao tembo waliuwawa na meno yao kunyofolewa chini ya lisaa limoja. Hawa vijana baada ya kusikia milio ya Bunduki, walilazimika kujificha huku wakiangalia kitendo kizima na hatimaye meno ya tembo kupakiwa ndani ya Landcruiser . Vijana hao waliogopa kuomba msaada wakidhania wangeuawa na hao majangili hao.
-Hawa wachina uonekana siku za Jumapili au jumamosi tu.Wachina wanapanda Noah huku wale (weusi) waliovaa sare za Askari wanyama pori wanatembea na Landcruiser ya Kijani yenye nembo ya TANAPA. Siku zote Landcruiser ndio utangulia, na mara nyingi wanatoka ndani ya hifadhi kuelekea Mugumu
Umesema hizo gari zinaonekana mara kwa mara sasa inakuwaje vijana wameshindwa hata kusoma namba maana rangi wamezitambua na sio mara moja.

Huu ukoloni wa mchina huu naona ni mbaya kuliko ule wa mwingereza