Majangili Wakichina Ndani Ya Serengeti

Majangili Wakichina Ndani Ya Serengeti

Hii habari umeisoma lini na zile pembe zimekamatwa lini pale bandarini?hii kasi imeongezeka kutokana na watu wa TANAPA kujihusisha na hii biashara pia.
 
Hivi na kenya wanafanya haya?

Sent from my SM-N900 using Tapatalk
 
Wachina wameanza tena na mauaji ya Faru Serengeti. Kuna taarifa kwamba faru wameuwawa leo... Hii nchi ya ajabu kweli !
 
Acha wauwe tu wakitaka wauwa mpaka mende
 
mkuu mleta mada,huoni kama unachonganisha Tz na China?hizi nchi ni marafiki na hata ccm na chama cha huko ni marafiki.
pia mchina kaahidi kutulinda kwa garama yeyote!

Toa upuuzi wako hapa kwani ni uongo? Mnakera sana nyie watu.
 
Hamisi Kagasheki alithubutu mkampiga vita. Sasa ngojeni tembo waishe ndio tutatia akili
 
Back
Top Bottom