Majangili na Maharamia na hofu dhidi mitandao ya kijamii

Majangili na Maharamia na hofu dhidi mitandao ya kijamii

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,260
Reaction score
40,441
Kundi la maharamia na majangili limekua na hofu dhidi mitandao ya kijamii ili kuficha uovu mwingi inaotenda ikiwemo wizi wa rasilimali za taifa , utekaji na mauaji dhidi raia na ukandamizaji wa haki za Wazalendo..Maponjoro ndio vinara wa wizi na ukwepaji kodi kwa ushirikiano na watendaji waovu.
 
IMG-20250906-WA0036.jpg
 
Jf ipo kama kawa..

Wamezuia kutopatikana Tz tu, mwendo ni uleule wa vpn.

20250906_171901.jpg
 
Back
Top Bottom